Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,951
- 61,758
Wadada tafuteni mbegu nzuri,sio unatafuta mbegu kisa ana pesa alafu unapata mtoto mdogo ana sura ya kizee...
Wadada tafuteni mbegu nzuri,sio unatafuta mbegu kisa ana pesa alafu unapata mtoto mdogo ana sura ya kizee...
ha ha ha watazileta tupicha ya huyo mtoto mwenye sura ya kizee tafadhali
Hii ni siredi ya kijana aliekata tamaa na maisha na hatak kutafuta pesa kabisaWadada tafuteni mbegu nzuri,sio unatafuta mbegu kisa ana pesa alafu unapata mtoto mdogo ana sura ya kizee...
Sijui mkuuyako nzuri mkuu
ha ha ha haHii ni siredi ya kijana aliekata tamaa na maisha na hatak kutafuta pesa kabisa
hizi zitakua akili ya moja baridi moja motoSijui mkuu
ha ha ha mtoto ndio yupi hapo?
ha ha ha karibubasi jua hamna mtoto mbaya hizi zitakua akili ya moja baridi moja moto
ha ha ha karibu
ha ha ha ha haya mambo si mchezoWe wadanganye tu kumbuka mtoto anafata kwa mama kwa bba kwa babu kw bibi asa chagua handsome kumbe babu yake alikuwa handsome wa kijiji utalia ka mtto
Unazijua akili za wanawake wewe?Wadada tafuteni mbegu nzuri,sio unatafuta mbegu kisa ana pesa alafu unapata mtoto mdogo ana sura ya kizee...
ha ha ha mtoto ndio yupi hapo?
ha ha ha ha sasa hapo mama muda wote atakuwa anamchapa mtoto kwa hasira za baba yake kwa kutompatia mbegu nzuriHao ni baba na mtoto ..... ila wamefanana kama maparachichi
Haya mambo hayahitaji hasiraha ha ha ha haya mambo si mchezo