πππWaombe tu mm sio single mother ila nilipewa ela ya ada nikaila kias nikalipa kidogoSafi, haha eeh hapo umegusa jambo la msingi bana, wanaume wengi wamezoea kutumia pesa zao kwa kila kitu, lakini mtoto wa mtu ni mtoto wa mtu, usikimbie wajibu wako. Lakini pia sisi wanawake tujitahidi kuwa na kipato chetu, si kila kitu cha mwanaume. Mchongo mdogo: 'Control Number ni ya kujaribu mapenzi, ukikataa unajua hana imani nawe!' π
American nigga kumbe unakitoboSafi, haha eeh hapo umegusa jambo la msingi bana, wanaume wengi wamezoea kutumia pesa zao kwa kila kitu, lakini mtoto wa mtu ni mtoto wa mtu, usikimbie wajibu wako. Lakini pia sisi wanawake tujitahidi kuwa na kipato chetu, si kila kitu cha mwanaume. Mchongo mdogo: 'Control Number ni ya kujaribu mapenzi, ukikataa unajua hana imani nawe!' π
Ndo zenu hizo tushawajulia. Badilisheni mbinu, hii mbinu ni ya kitoto. Eti naomba ulipe ada nitumie mimi. BIG NOO. Unataka nilipe ada leta Control Number ya shuleni. Men sanukeni!!!πππWaombe tu mm sio single mother ila nilipewa ela ya ada nikaila kias nikalipa kidogo
Awamu ya pili akataka kulipa kwa control number nilikuwa mkali kama hao wamama πππ
Huu ujinga tushaujua. Unafika mwisho wa mwaka shule wanakupigia baba mtoto kwamba ada inadaiwa wakati we ulishatoa yote!.Sabbu ada unayoambiwa na michango huenda sio halisi
Uliyolipa awali haijafika shule imelipwa vikoba ππ
Au ameshalipa anataka atafune na hzo zingine