luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Ukibana pesa yako, basi kila mtu abaki na chake.Mnatupa wakati mgumu sana
Ukibana pesa yako, basi kila mtu abaki na chake.Mnatupa wakati mgumu sana
Natangaza ndoa na weweBasi kaza, si unapenda vizuri na vizuri ni gharama.
Acha tupambane tu; kulia chakula kwenye sahani ya kioo kuna raha yakeUkibana pesa yako, basi kila mtu abaki na chake.
Mkeo ana taarifa?Natangaza ndoa na wewe
😂😂😂 nitakupa majibu baadayeMkeo ana taarifa?
Nitumie njia gani kuepuka gharama?Sijui wafanyaje sasa
You nailed it well 👌Umedhalilisha neno smart,, hizo sifa sio za mwanamke smart ila Ni sistaduu ama slay queens
[emoji23] na kuna yule muuza madini yaani we hufai kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] nitakupa majibu baadaye
Ondoa shaka nguvu zipo za kutosha 😂😂😂[emoji23] na kuna yule muuza madini yaani we hufai kabisa.
Ndio hao wanawanyea mdomoni kisha wanawalipa[emoji1787]
Kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] ndio maua ya dunia mkuu
Haya bwanaOndoa shaka nguvu zipo za kutosha [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nikajua usmart wa kichwani? 😄😄Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie.
Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na nyie, pesa huwa inateketea sana.
Mara wigi laki sita, hujakaa sawa nataka niende saluni kusafisha kucha, mara nimeona kisuruale pale, mara ile raba nimeipenda, mara nataka nikabadilishe mtindo wa nywele n.k
Kwa mazingira hayo; nyie hamfai kuolewa, tutakuwa tunawapa kampani ya kupelekeana moto tu
Tulia na huyo uliyenae unawataka masmart wote wa nnNitumie njia gani kuepuka gharama?
😂😂😂Ukiona vyaelea,alafu hao waondoe kwenye kundi la watu smart kama sisi,jana lao maalumu ni'wadangaji'