Wadada smart tunawapenda sana, na tunathibisha mna utamu wa kipekee; popote pale pongezi ziwafikie.
Changamoto kubwa mliyonayo; mnatutesa sana sisi wanaume; hela haikai, muda wote tunapokuwa na nyie, pesa huwa inateketea sana.
Mara wigi laki sita, hujakaa sawa nataka niende saluni kusafisha kucha, mara nimeona kisuruale pale, mara ile raba nimeipenda, mara nataka nikabadilishe mtindo wa nywele n.k
Kwa mazingira hayo; nyie hamfai kuolewa, tutakuwa tunawapa kampani ya kupelekeana moto tu
Mzee hakunaga smart wa hivyo hayo ni malunya lunya Kama malunya mengine.
Back on the days....nilikua na rafiki wa kike huyu Dada ni mwenyeji wa singida huko ni kisu hatare. Ila nilicho kua nashangaa alikua hadumishi Mila zao za kugegedwa hovyo yaani yeye alikua pesa mbele Kama demu wa kichaga Ila pesa ya kuitafuta kwa jasho lake.
Mwanzoni wakati naanza uhusiano nae wadau walikuja na kumpaka Sana matope kuwa demu ni Malaya kutokana na sababu abc. Nikasema sawa Ila Kama kawaida yangu anzi akijilengesha kwangu huwa namuacha yeye ndio aendeshe game (I play her role) Hadi nihakikishe amecheza na kuniachia nafasi ya kufunga tu. Basi ikawa hivyo.
Basi huyu Dada kumbe yeye alikua amekuja kwangu kwa sababu aliona mm nipo vizuri darasani hasa upande wa practicals zaidi. Na kweli nilikua vizuri Ila tatizo lilikua kubadilisha ujuzi nilio kuwa nao na kuufanya uwe pesa.
Basi huyu Dada akawa Kama marketing wangu yeye aliutumia uzuri wake kwenda kwenye maofisi ya watu na kuomba deals na kweli karibu ofisi zote alizo ingia alipata dili Basi akipata ananiletea Mimi nafanya na kumpa na kumuelekeza abc akielewa nae anaenda kufanya presentation.
Kiukweli tulitengeneza pesa tukiwa bado tupo chuo yaani boom la kwanza kukutana na boom la mwisho kwenye account ilikua kitu rahisi tu.
Na kweli mahusiano yetu yalikua kikazi zaidi kunyanduana ilikua Kama kachumbari tu yaani pale mmoja wetu anapo kuwa na nyege anamtuliza mwenzie ili tuweze fanya kazi. Nakumbuka maneno yake " jamaa mwenzio hapa navinyege hebu fanya kunitoa ili niwapandie huko nikiwa full and fresh" basi hapo namnyandua kimoja Cha muda mrefu anaenda kuoga na kutafuta madili .....na akipata tu dili simu zinaanzia hukohuko utasikia "we jamaa Kuna kazi ya kukaa wiki nzima Anza kujiandaa vipige burn videmu vyako vyote" Basi hapo tukijifungia hapo yeye kazi zake ni kuniletea msosi na kwenda mapindi na kula updates zote za class. Na akija geto ni kuhakikisha Ana sort ya class yote ili badae aje anifundishe tukichoka tunanyanduana tunalala.
Na siku atakayo saini cheque hizo vibe zinaanzia huko huko akifika geto mbususu Isha loana kabisa.
Na nashangaa niliishi nae kiivo bila kusumbuana Wala kuoneana wivu na kweli yule manzi alikua na akili Sana na hata ule umalaya walio kuwa wanamsema ni kwamba alikosa mtu wa kuivana nae . Yeye anapenda mapenzi ya faida sio ya kizembe . Hadi tunamaliza chuo Mimi ndio nilikua mwanaume wake wa mwisho na kwa tulivyo kua watu walijua tutaoana.
Kutokana na like alicho kua nacho alifanikiwa kukutana na mzungu na wakaoana miezi michache tu kabla ya kuhitimu na kwenda kuishi maleshia na kufika huko sijui imekuaje tumepoteza .
Naamini anaendelea salama huko aliko.
Na hii ndio ilikua slogan yetu
"Nyege ni adui wa maendeleo" [emoji1][emoji1]