palsa
JF-Expert Member
- Apr 24, 2011
- 1,339
- 1,700
Not necessarily..Hahahaah yeye alivyomtenda mwenzake haikuwa roho mbaya??
Not necessarily..Hahahaah yeye alivyomtenda mwenzake haikuwa roho mbaya??
Mijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...
Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
OkayNot necessarily..
Haa haa haa aiseee ay atarud ulimi chin anatambaaMijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...
Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Aiseeh!!Mtaftie timing umgonge then mwambie huwez kumuoa wala kuwa na mahusiano nae kwa namna yoyte ile labda awepo kwa ajili ya kutiana tu
Teh!! Yaani likukute kwa mmoja basi hiyo experience uitumie kwa wanawake wote!! Endelea kuwasoma maybe utawaelewa.I'm 90% sure kuwa huyo mdada hajajifunza lolote, anataka kutake advantage kwa mchizi, ni unafki tu uumemjaa huyo mdada,h ayo yashankuta so mm wanawake nawaelewa vizur sana atoto
We kweli kiboboriMtaftie timing umgonge then mwambie huwez kumuoa wala kuwa na mahusiano nae kwa namna yoyte ile labda awepo kwa ajili ya kutiana tu
Ilishanitokea kama hvoZina nini?
kwani mm ndio pumziko la watu? aliponitenda hakujali kama nimeumia au la! leo ameumizwa sasa anafikiri i am concerning katika mauvimu yake. Aende zake huko akawatafute wengine!Teh!! Yaani likukute kwa mmoja basi hiyo experience uitumie kwa wanawake wote!! Endelea kuwasoma maybe utawaelewa.
Mie nawafahamu waliopitia situations hizo na wakarudiana na wakaishi vizuri tuuuu, haya mambo hayana pie.
Kale ka shotcut ka kipindi kile usikarudie tena my dear!Msamehe tuu, hakuna binadamu aliemtimilifu