Single mother?nadhani wamekuelewa bt na swali kwako, ushamove on au bado upo single coz cama bado uposingle kuna hatihati ukafufua ile love .
okay bro, hujanijibu swali lkn..Single mother?
Kipindi hicho aliniona sina thamani.. leo azalishwe anirudie + Mtotoo? Yaani hata sisimki kwake tena
Aaaagh never on earth.
Chukua na mtoto iwe zawadi yako.Single mother?
Kipindi hicho aliniona sina thamani.. leo azalishwe anirudie + Mtotoo? Yaani hata sisimki kwake tena
Aaaagh never on earth.
poa mkuu lkn kamaitatokea anashida ya kitu ambacho unauwezo nacho ww mpatie just be a gentlemansijaoa bado
Akigonga hachomoki... Pona yake ni amdelete kila mahala.Mtaftie timing umgonge then mwambie huwez kumuoa wala kuwa na mahusiano nae kwa namna yoyte ile labda awepo kwa ajili ya kutiana tu
Kubabake nimecheka kinoma[emoji28]Mijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...
Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...
Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Mnaona raha wenyewe na lugha zenuKubabake nimecheka kinoma[emoji28]
Hamna mkizingua izo lugha ndo zinakua kitulizo chetuMnaona raha wenyewe na lugha zenu
HongereniHamna mkizingua izo lugha ndo zinakua kitulizo chetu