The August
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,079
- 2,027
Mkeo ndio una haki ya kusema hivyo, ila kama si mkeo ni nipe nikupe. [emoji28]Kwan starehe c tunapata wote..na k yake anabaki nayo..paka shume hafugiki..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanarudishaga vitu hawa mkuu! Ilibidi nikanunue charger nyingine kesho yake. Niliamua kupiga chini tu, maana kila akija atataka kuondoka na kitu hata ukimkataza. Sisi wengine tumefundishwa kuheshimu vitu vya mtu mwingine, huwezi chukua bila kuomba.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Katisha kwa kweli. Perfume mwenyewe naomba kwa kweli.Hahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.[emoji13]
Mi natoa wala sijizungushiMkiombwa papuchi, mnakuwa wagumu kweli, vijisababu vingi na chenga nyingi Mzigua90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hhaahaa nimesema juzi mm nikaambiwa ndo aomba omba[emoji23][emoji23]
Karibu ujichagulie hapa ziko nyingi [emoji4][emoji4]Katisha kwa kweli. Perfume mwenyewe naomba kwa kweli.
Sasa unakuta mtu ana perfume zaidi ya tano na zote zimejaa wakati mi ninayo moja tu.. Naomba vizuri tu yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.[emoji13]
Mkiombwa papuchi, mnakuwa wagumu kweli, vijisababu vingi na chenga nyingi Mzigua90
Kwani na wewe si kuna vingi unatakaga kutoka kwa mwili wake?
🤣🤣🤣🤣🤣 balaaHahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnawataka basi hao waoeni .Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka?
Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa.
Hata kama mtu alikuwa na mpango nawe anakuacha.
Sent using Jamii Forums mobile app