Wadada Punguzeni Masharti ya Wachumba Watarajiwa

Wadada Punguzeni Masharti ya Wachumba Watarajiwa

bora nisiolewe kabisa kuliko kutozingatia vigezo na masharti.

ha ha ha haaa!! haya maneno husemwa na waliokosa. ha ha ha ha. Legeza masharti kido halafu nitaku pm sasa hivi

Mimi siwezi kuolewa na mwanaume mwenye sura kama ile avatar ya Rev. mas...

kama wewe ni msafiri upo kituoni sio kwamba ikija daladala unapanda tu lazima usubiri ya kule unakotaka kwenda ndo upande hata kama utakesha kituoni.....

kama wewe ni msafiri upo kituoni sio kwamba ikija daladala unapanda tu lazima usubiri ya kule unakotaka kwenda ndo upande hata kama utakesha kituoni.....

umeona eeh! Haina haja ya kuwa na haraka upande gari bovu uishie njiani.

umeona eeh! Haina haja ya kuwa na haraka upande gari bovu uishie njiani.
sio bovu tu wewe unaenda zako masaki upande la mbagala wapi na wapi? si utarudi tu maana u don belong there madam....???

Natafuta Mchumba.

1. Should be a Financially stable man.
-Do you people think Money is Cut From Trees?

2. He must be Honest
-Who including you is honest these days? do you want to marry Jesus?

3. He must be romantic
- You must be reading lots of Mills and boon, stop dreaming and be real

4. He must be God Fearing
-How about the abortion you had Last time, Do you fear God yourself?

5.”He should be tall and dark”,
-hey,did you do any genetics in college?,what about that big stomach you have?,height and colour is all about genetics…

6.”He must be humorous”
-,kwani you want to marry Mr.Bean?,I think he is already married.
It's all about FANTASY v/s REALITY

kama wewe ni msafiri upo kituoni sio kwamba ikija daladala unapanda tu lazima usubiri ya kule unakotaka kwenda ndo upande hata kama utakesha kituoni.....

c lazima tu upande daladala hata bajaji ikibidi

Na hao wenye sura nzuri ndo wanapendwa na wengi ndo maana huchelewa kuoa na wakioa hawatulii coz jamii nzima inawatamani wao.
Tht why mnapeana v.v.u tupu.
Na hii ndo zawadi ya wadada kama wewe.

Natafuta Mchumba.

1. Should be a Financially stable man.
-Do you people think Money is Cut From Trees?

2. He must be Honest
-Who including you is honest these days? do you want to marry Jesus?

3. He must be romantic
- You must be reading lots of Mills and boon, stop dreaming and be real

4. He must be God Fearing
-How about the abortion you had Last time, Do you fear God yourself?

5.”He should be tall and dark”,
-hey,did you do any genetics in college?,what about that big stomach you have?,height and colour is all about genetics…

6.”He must be humorous”
-,kwani you want to marry Mr.Bean?,I think he is already married.

Wape vidonge vyao wakime wakitema shauri yao

Mbna na nyie mnatugrade?hvyo ulivyochagua wewe ulidhan vmejibandika tu.mc2nyanyaseee

Mwanaume anauwezo wa kuamua aoe lini lakini si mwanamke anayeweza kuamua kuolewa lini... kwa wanawake mshale ukianza kusoma speed 30 and above gari inaanza kuchemsha ile mbaya... kwa mwanaume mshale ukifika 30-40 still anakuwa pouwa tu ...kiutu uzima mmenisoma..vigezo na masharti huwa vinaanzia 18-30 akivuka hapo! Mayo nene!!!
msitutishe na masharti na vigezo vyenu ....Never give up no condition is permanent

bila kusahau
education level: above masters
family background:,at lest iwe ya mbunge
bebii sana watoto wa wakulima huku Tanganyika masagati kuoa ndo basi kama na ilo ni sharti lenu.MMMM NAOGOPA

na watasubiri hivo hivo hadi wazeeke mwisho wa siku wanaanza kudate na serengeti boys...............huh

Back
Top Bottom