jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Wee Katavi weweeee, yaan Mungu aumbe viumbe wake wewe useme havijakamilika kweli?Hakuna binadamu aliye kamilika.
Omba msamaha kwa Mungu aisee!!!!
hahahahhahahaha nimecheka kweli
Wee Katavi weweeee, yaan Mungu aumbe viumbe wake wewe useme havijakamilika kweli?Hakuna binadamu aliye kamilika.
Hahahaah mkuu Mungu hajakosea hata mara moja, ila ni sisi binadamu ndio tunaojidai kuona makosa kwa wenzetu.Wee Katavi weweeee, yaan Mungu aumbe viumbe wake wewe useme havijakamilika kweli?
Omba msamaha kwa Mungu aisee!!!!
hahahahhahahaha nimecheka kweli
hahahahahha hapo nimekuelew Mkuu.Hahahaah mkuu Mungu hajakosea hata mara moja, ila ni sisi binadamu ndio tunaojidai kuona makosa kwa wenzetu.
Ndio maana nasema tunakuwa na kasoro kadhaa, either za kimaumbile au kitabia.
Huyo atakuwa charii wa Arachuga mi napendaga meno yao yaani natural gold, emu ntupie namba ya huyo toto uliyemgwaya kisa menoHahahaha hiyo ni kweli kabisaa,aisee,binafsi nilimuona mtoto mmoja Chuo fulani ivi,mtoto kajaaliwa kila kitu aisee,ile namfuata nikakuta friends wake wamemjalia kama wanashida nae ivi,ah,nikaona isiwe shida,mara siku sina wazo lolote juu yake ghafla akatokea around nilipokuepo,basi mwanaume nikamfuata,ile kumpa salamu tu naona mtoto kama anakubali vile ila alipofungua mdomo kunijibu khaaaa,meno yooote yana ile Rangi kama yameoza ivi mmmh,hapo hapo hamu ikaisha nikaaga .....!
Si kuwachunguza Valentina, ni kawaida kabisa haya mambo yapo..Mnatuchunguza mpaka utumbo!
Kwani vibaya kuwachunguza maana hamsolviki mjueMnatuchunguza mpaka utumbo!
Hizo zinaitea pakachuUnakutana na kitu inavuja maji mpaka unatamani utumie pump ya money maker kukausha.....
Dawa yake ndogo tu ungempa mouth wash yenye flavour ungesahauhilo ni kweli hata mimi nilimpata demu mmoja ni mkali kweli anatokea Arusha ni mchanganyiko, ana sura murua sana aisee na kiuno kimekaa ka nyigu basi bwana nilienda nae gemu kusema ukweli mchezo unaujua sana anazungusha kiuno balaaa na mashine yake ipo poa sana kasoro yake tu harufu mbaya mdomoni, umeona hilo mshikaji wangu hayo ndo mambo ya watoto wazuri
Si kuwachunguza Valentina, ni kawaida kabisa haya mambo yapo..
Tutawararua na nyieKwani vibaya kuwachunguza maana hamsolviki mjue
uwanja wenu jiachieni ni siraha titawapaTutawararua na nyie
English course siyoSiyo "your such a...." andika "you are" kama hujui mombo tumia hata kiyao.
Thanks mkuu.hahahahahha hapo nimekuelew Mkuu.
was jst imagining how God can do all his works and sisi tuseme hatujakamilika.
But i understand your logic b4 nimeona tu nikusalimu Mkuu and not otherwise.
Best regards.
Twihihihiiiiiihilo ni kweli hata mimi nilimpata demu mmoja ni mkali kweli anatokea Arusha ni mchanganyiko, ana sura murua sana aisee na kiuno kimekaa ka nyigu basi bwana nilienda nae gemu kusema ukweli mchezo unaujua sana anazungusha kiuno balaaa na mashine yake ipo poa sana kasoro yake tu harufu mbaya mdomoni, umeona hilo mshikaji wangu hayo ndo mambo ya watoto wazuri
MANENO MENGIIII...Ukiona mwanamke ni mzuri sana, yaani sura kali, shepu hilo, miguu ya ukweli, amesoma vizuri yani unahisi kama kapendelewa kila kitu jua kuna kitu kimoja tu some where hakiko sawa.
Huwezi pewa vyote wanasema wahenga, wengine wazuri kinomaa kama amejiumba lakini injini rejeta inavuja, ukipiga utadhani unafua maturubai Mtera, si Mtera Ruvu chini si Ruvu balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana kifafa, katikati ya mechi demu anazima unaanza kumpepea na the guardian.
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae room maruhani yanapanda anakupiga roba mpaka unahisi umeshikwa na baunsa wa billz.
Usione msichana mkali anakuzungusha ukadhani hataki kuliwa, wana siri nzito wanajua wakikupa ukajua utawatangaza, anakuzungusha kulinda CV isishuke.
NAMASTEUnaongelea misoprostalLakini ukweli mchungu ni wale wanaokosa watoto muda ukifika......
Hasa wale waliochezea ujana...k.m. kutoa mimba
ha ha me nilijua wangu tu !! na akil zote za darasan gpa nzur tu anapataga lakin ucku akikutangulia kulala utacheka na kuhuzunika
