Usibishe, hiki kitu kipo

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,213
Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,yaani SURA
KALI....SHEPU HILOOO...MIGUU YA UKWELI..AMESOMA
VIZURI..Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU
jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko
sawa...HUWEZIPEWA VYOTE wanasema
Wahenga...Wengine Wazuri kinomaa kama amejiumba lakini INJINI rejeta inavuja,Ukipiga
utadhani Unafua Maturubai...Mtera Si Mtera Ruvu Chini
Si Ruvu..Balaa! Mwingine mzuri mpaka basi ila ana
KIFAFA...Katikati ya mechi demu anazima unaanza
kumpepea na The Guardian...
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae Room Maruhani yanapanda anakupiga LOBA mpaka unahisi
umeshikwa na Baunsa wa Billz Usione demu mkali
anakuzungusha ukadhani hataki KULIWA...Wana siri
nzito wanajua wakikupa ukajua UTAWATANGAZA...
Anakuzungusha kulinda CV isishuke...
 
Hapo kweli stunter unakuta gari nzuri body safi ila injini sleeve simetanuka inabdi ifanyiwe overhaul ndio ufurahie.
 
hahah.. hii iko poa sana. dem mwingine anakuzungusha sio kwamba hajakupenda ila anajijua ni kimeo na huyo bf wake kashazoea huo ukimeo wake ndo mana inakua ngum kwa dem kumwacha jamaa hta km anamtreat vibaya, madem dizain hii vinateseka sana kwenye mahusiano coz jamaa anakua anamburuza anavyotaka, si keshamjua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom