Wadada na yaliyoko chini ya kapeti

Wadada na yaliyoko chini ya kapeti

Hivyo ndivyo vigezo vya uzuri? Dhana ya uzuri ni telezi (subjectivity).
Hivi mtu akiolewa ndiye mzuri eeh. Basi mi nimzuri .
Acha kufikiri kama jethika wewe! Hakuna nilipoandika "kigezo cha uzuri ni kuolewa" hivyo nakuomba usianze kujipigia makofi kwamba nawe uko kwenye top 1000 ya wazuri kisa tu umeolewa.
 
hilo ni kweli hata mimi nilimpata demu mmoja ni mkali kweli anatokea Arusha ni mchanganyiko, ana sura murua sana aisee na kiuno kimekaa ka nyigu basi bwana nilienda nae gemu kusema ukweli mchezo unaujua sana anazungusha kiuno balaaa na mashine yake ipo poa sana kasoro yake tu harufu mbaya mdomoni, umeona hilo mshikaji wangu hayo ndo mambo ya watoto wazuri
Hahahahah c ungemnunulia zawad ya mouth wash mkuu
 
Acha kufikiri kama jethika wewe! Hakuna nilipoandika "kigezo cha uzuri ni kuolewa" hivyo nakuomba usianze kujipigia makofi kwamba nawe uko kwenye top 1000 ya wazuri kisa tu umeolewa.
It was a philosophical question, lakini Kwa akili yako ukajua najisifia. Teh teh. Povu vepeeeee
 
Nyie wanaume mna kazi ya ziada!
Na kweli kazi ya ziada tunayooo au vipi?maana mara Mtera,mara Amboni,mara Tsunami,mara Tuna fish,mara panya wa juzi uuuh ,.,,.,lakini hatujali na tena its not an issue ila ndo chachandu yenyewe,yaani full MAZINGAOMBWE.
 
Hahahahaha bora nisijambe tu mbele yko kuepusha masimango
Baby usijali ngurumo za hapa na pale coz mimi hiyo huita bonus ya kiaina,sababu huwa inasaidia gari langu likikwama kwenye matope baaasi hiyo inakuwa kama umeliekea gari langu gear ya 4 wheel drive ili kulinasua topeni,kwa hiyo next game wewe jiachie tu kwa raha zako,.,.,.,acha eksozi ingurume tu tra ta ta taaa vruuum pyeee.
 
  • Thanks
Reactions: irk
Na kweli kazi ya ziada tunayooo au vipi?maana mara Mtera,mara Amboni,mara Tsunami,mara Tuna fish,mara panya wa juzi uuuh ,.,,.,lakini hatujali na tena its not an issue ila ndo chachandu yenyewe,yaani full MAZINGAOMBWE.
Mmh wewe
 
Hahahahahahahaha yani wee sio mzima eti pyeeeeeeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom