Tupe maujanja uliikabili vp...au pia kama ulichomolewa msimbazi kadha weka wazi...hahahaha nimeshakutana nayo hiyo, kwangu ilifanyika mara mbili :smile-big:
acha ukauzu kaka nirushie hata nusu yakeHapana bana sijaireserve...miye umri ushantupa mkono, mambo haya yanafaa vijana zaidi wanaoweza kurusha m^mkojo mita3... ha ha haaa
hivi no yake ni ngapi BOT niwe najikosesha kila siku.najua kwako sitotoka kavuKazi ya utapeli unaweza kuwa unapiga million 5 kila mwezi.
Mkubwa si useme sasa?nimekutana nazo sana hizi aisee halafu wana timing kali balaaa. Ya juzi juzi alikua anaomba atafutiwe Field, akasema amekosea namba ila kweli anahitaji Field. hahahaaaa kilichotokea!!!!
Mkubwa si useme sasa?
mi nilijia labda mi ni wa kwanza kukumbwa na janga hili kumbe watu kila siku mnaliwa hamsemi bana..
Wadada wa jf tupeni maujuzi, wenzetu haziji call za aina hii?
Hapana bana sijaireserve...miye umri ushantupa mkono, mambo haya yanafaa vijana zaidi wanaoweza kurusha m^mkojo mita3... ha ha haaa
Mkuu kama ni wewe binafsi naweza kukupa maana najua wewe huwezi kimdhuru saaana...haha haaaaa
Mkubwa si useme sasa?
mi nilijia labda mi ni wa kwanza kukumbwa na janga hili kumbe watu kila siku mnaliwa hamsemi bana..
Wadada wa jf tupeni maujuzi, wenzetu haziji call za aina hii?
Tupe maujanja uliikabili vp...au pia kama ulichomolewa msimbazi kadha weka wazi...
Na pia kama uliishia nae MAPAMBAZUKO G.HOUSE pia tujuze.
Hapa ni darasa la maujuzi.
Ulimaliza vipi?