Wadada na waume za watu

Unaweza ukawa na boyfriend wako akakuchosha kuliko huyo mume wa mtu
Nani kakuamba kila anaetoka na mume wa mtu ana shida?
Huo ni uzinzi ni dhambi kuharibu ndoa za watu ndio maana mungu anatupa majanga
 
Ila shida inaanzishwa na wanaume maana si zani kama hawa madada wanatutongoza sisi ndo tunawatongoza unamtongozaje na una wako home?
Ndio waache kukubali maana wanapotezewa muda mume wa mtu hakupeleki popote zaidi ya ujinga tuu
 
Wadada wengi wanapenda
Wanaume wa wenzao
Kwa,sababu anajua atagongwa vizr kushinda
Anavogongwa na bf wake



[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Hapa nimeshaona watu 3 wanatembea na waume za watu...huu uzi hautafika mbali views nyingi comment hamna mnapita kimyakimya
 
Hahahaaa mbona wanaume wasio na wanawake ni wengi tuu? Kwanini tunapenda kuwafata wale ambao wameshatengenezwa na wake zao? Utakuta wametoka mbali yule mwanaume alikua sii lolote sii chochote angekufata enzi hizo usingekubali mwenzio kamrekebisha jini mkata kamba ndio mimacho inaanza kumtoka
 
utachelewa sana isitoshe utachina wenzio na enjoy maisha yenyewe ndio haya haya dniani wawili wawili kama unataka wako peke yako kamuunde kwa seremala
 
utachelewa sana isitoshe utachina wenzio na enjoy maisha yenyewe ndio haya haya dniani wawili wawili kama unataka wako peke yako kamuunde kwa seremala
Wawili wawili? Sasa umeongea nini?
 
Mh! Labda watakusikia
 
Wawili wawili? Sasa umeongea nini?
utachelewa sana isitoshe utachina wenzio na enjoy maisha yenyewe ndio haya haya dniani wawili wawili kama unataka wako peke yako kamuunde kwa seremala
Mimi naongelea jini mkata kamba anayetaka kuchezea namba 3 sasa maana duniani ni wawili wawili
 
ha haha mwanaume ndiyo anajua umuhimu wa mkeo .. ukiamua kuwa kipoozeo kwa muda shauri yako.. umri uzuri haukai hapo milele
 
Dah.... [emoji120] [emoji299] ........[emoji87]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Maneno kuntu!
 
Kweli wadada wa kichagga tunajielewa sasa wewe unatembea na mme wa mtu mwaka mzima sasa wewe familia utaanzisha lini?
ukiona upo na mume wa mtu mwaka hadi mwaka unatatizo kwenye ubongo wako .. na huku anakuchimba mkwara kupiga simu mwisho sa moja .. na ole wako ubebe mimba na ole wako umguse mkewe na we upo tu kapimwe akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…