Wewe ndiye unafikiri kirahisi. Nilimaanisha hata kama wanandoa au wapenzi hawachepuki lakini unakuta kila mmoja wao alisha tumika. Yaani ni nadra sana tena sana kukuta wanandoa ambao walioana WOTE WAKIWA BIKRA..Kwa mtazamo wako hakuna single guyz wasio na familia? Mbona umefikiria kirahis hivyo?
Muulize hao ma single aka wasiooa wanatembea na wanawake wangapi?Ndio mahasira na mapovu niliokuwa nasema jiwe limekupata nini sex ni sex tu kama ni mume au mke wa mtu hayo ni mambo ya ngoswe waachie wenyewe huwezi kuwa mwalimu wa Maadili kwa dunia nzima angalia mamno yako mtu kutoka nje ya ndoa mojawapo ndio hayo hatosheki au hatoshelezwi huwezi kushindana na maumbile hata wewe mwenyewe upo busy na mambo ya wengine kujifanya mwalimu mtu atachomoka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Na nyie waume za watu unajua unamke tena mke mzuri tu unatoka nje kufanya nini?
Hebu tulizeni hizo mboli zenu
Ninae tokea zamani siku nikimfumania na mdada huyo dada namjaza chupa
Naongelea wadada waache kupotezewa muda kaka watafute wanaume wasiooa wafanye maisha hata hao waliooa mwanzo walikuwa hawana kitu wake zao wamewasaidia sasa wanawake wa nje ndio wanaanza kuwatamaniWewe ndiye unafikiri kirahisi. Nilimaanisha hata kama wanandoa au wapenzi hawachepuki lakini unakuta kila mmoja wao alisha tumika. Yaani ni nadra sana tena sana kukuta wanandoa ambao walioana WOTE WAKIWA BIKRA..
UNSERSTAND???
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakayemkuta ni halali yangu kuna mdada hapa jirani alivuliwa nguo zote had chu alikuwa na dred akanyolewa kisa kakutwa na mume wa mtu yule mke akamuitia majimama haisee walimdhalilisha mpaka raha
Na mara zote, na iko proven....'waroto' huona kilakitu ni cha 'kiroto'.Umeandika uroto alafu umevaa hijabu, ndo mana huwa nawachojoa hayo manguo ... Funua natupia kimoja napita hivi,, Uninja wote kwixh ney
Na wewe nawe......hivi unaelewa unachoandkka lakini!!!. Mtu asipoelewa kilichoandikwa na mwingine, huyo nitamuelewa. Lakini mtu asipoelewa alichokiandika mwenyewe....huwa simpatii kundi.Mada umeielewa? Au umesomewa? Ngoja basi nikuelekeze iko hivii: ni ushauri kwa wadada waache kupotezewa muda na waume za watu watachelewa kufanya maisha
Duuh aseeHabari wapendwa,
Wadada leo naomba tujikumbushe kitu kidogo hapa :- Ni kuhusu kuchagua watu wa kuwa nao kwenye mahusiano mf: -kumezuka wimbi la wasichana kupenda kutembea na waume za watu kisa wapate pesa za kujikimu kimaisha kwa upande wangu mimi naona tunakosea sana hiyo tabia na kwanza utachelewa sana maisha kwa kupenda vya dezo mwisho wa siku vitakutokea puani wewe msichana mdogo umeng'ang'ana na mizee isiyojiheshimu kisa anakupa hela na bora hata iwe hela sasa 50000 huoni kama ni dharau?
Yani kakuona jalala la kumwagia taka mwili wake puu! Kwanini wadada tusijikite katika kutafuta maisha? Mume wa mtu akikutongoza ujue kakuona wewe ni dastibini zile za barabarani ambazo kila mpita njia anatupia taka na kwenda zake, yani limtu na mauchafu yake wewe unalikubali maana hakuna malengo yoyote kawashwa huko kaona aje kwako ni bora utulie upate wako asiye na mke ukipenda vya dezo utatumika hadi utakuwa unatembea upande upande.
Tuacheni jamani.
Dada naona unawapeperushia watu viwanja vyao vya mazoezi!!
hao wadada wa ivyo wanaitwa viwanja vya mazoezi ukitoka mazoezi unaenda kwenye mechi sasa kwa mkeo!!