Wadada na nyie mnatamani wanaume?

Wew nawe ni mwanaume wa dar slam? Ungekubali tu wakubake mzee
nina viwango mkuu.sio kila mtu aone mwili wako! hata ww siamini kama kila unayemuona utamoenda na kutamani ulale naye.
 
wanaume wengi tunapenda mwanmke wa kutafuta kuliko wa kujileta.wa kujileta utamdharau na hamtadumu
Kuna mwingine mkuu uzalendo ukimshinda anatumia teknik yoyte.Ila hawa wengi hawataget sana kuolewa.
 
Mwanaume anakimbia vibinti viwili! Serious? Viwili tuuu! Daaaah! Kabisa unaondoka vibinti vinekudefet.... naenda dukani na bukta sasa hivi... viko wapi?
Hahahaaa.sawa king mswati.mzee wa threesome.
 
mkuu nashukuru kwa darasa la leo.elimu tunapata mpaka tunaenda kaburini.shida yangu kwanini wanatusumbua tunapowahitaji baada ya kututolea mijicho?!
 
Shauri ya michensho na mipombe ya bure! wanawake siku hizi wanapenda vya kunyonga.matokeo ni vitambi bila hela.nafuu wanaume wengi wenye vitambi wanahela za mboga
 
Umepewa ofa ya kubakwa na mabinti 2 bado unalalamika kweli kweliii!? Aah kweli wanaume wa Siku hizi bure kabisaaa na tusipoangalia Africa nzima wanaume tusiopenda kudhalilika tutabaki wawili (2) tu, Mimi na mh Zuma wa kwa zuru natal
Nadhani huyo ni mwanaume wa dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…