Wadada na namba ya simu...

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,202
Reaction score
1,296
Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.

Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya ukweli.

Basi baadaye ukianza kumtext hajibu sms, wala hapokei call. Wadada wa kibongo acheni ujinga, kama hujamuelewa msela husimpe namba yako, maana mnatoa kwa moyo bila kulazimishwa.

Uzi tayari
 
Fanya muamala KWANZA ulionona uone kama sijapokea??? SASA ya nini kupokea simu ya mwanaume asiye jiongeza? [emoji849][emoji849][emoji849]
Jamani,, kujiongezaje,unaweza tuma akakuona uko ki money money
 
Jombaa tafuta hela,itapunguza kuangaika na kujieleza sana kwa mrembo!!
 
Fanya muamala KWANZA ulionona uone kama sijapokea??? SASA ya nini kupokea simu ya mwanaume asiye jiongeza? [emoji849][emoji849][emoji849]
Mtu unashindwa kujua Kama huyu bi dada bando analo au la lakin ATA kupokea simu inaitaj bando[emoji12]
 
Nlichojifunza kwa hawa viumbe nguo nyingi ni kuwa simu yake ispopigwa na wanaume, kila anayemwomba namba ana mpa ili tu uwepo usumbufusumbufu wa hapa na pale. Ila si kwamba kakuelewa. Akiwa ana waiting list labda ya watu 10 wote wanabaki kuwa status pending ila ana mmoja ama wawili ama wanne ndo wana confirmed status.

Kama mimi mschana mdogo sana anatoksha kuwa mtoto wa kuzaa kanielewa kishenzi, tunagidana hata kwenye gari karibu kila siku almost mara nne hedi tano kwa week. Hajwahiniomba hela ila nikagia simu yake washkaji wanapigwa mizinga balaaa, akaniambia hao wamejipendekeza wwnyewe.
 
Haya Mambo hayana formula,mwingine anasema husimshobokee mwanamke Ila Kuna wanaokomaa na mzigo wanakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…