RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,719
- 107,818
Tena tu akiwa anapenda zege rojorojo aah!..sionagi utamu wake kabisa zaidi ya kuchafua hewa!! Mie mshale na nyama hunitoi, ha ha siyo hivi vyepe!!
eti??!!!!
Tena tu akiwa anapenda zege rojorojo aah!..sionagi utamu wake kabisa zaidi ya kuchafua hewa!! Mie mshale na nyama hunitoi, ha ha siyo hivi vyepe!!
eti??!!!!
mkuu hapo si unaikamilisha mwenyewe....ongeza kachumbari[salad],matunda,ukiweza na mishikaki/vikuku kadhaa..... hata ukila ugali+nyama bila matunda na salad hauwezi kukamilika......
Ila uongo mbaya hayo machips mayai huwa yanaleta sana gesi tumboni. Ukiendekeza kula lazima utakuwa unajamba jamba sana...
Angalia: chips mayai 1300 - 1400, salad 1000, mishkaki 200, vikuku 1500 yeyote mpenda dezo ataweza hapo??
hujui mshale wa moshi?..lol
....kwahio chips mayai mishikaki+kachumbali ni kama $1.5 tu,still very very cheap......sasa hio nayo unamnunua mtu.......
Suala la kusema ni cheap nakataa. Katika mazingira ya chuo sijawahi ona binti kaagiza chips kavu ambazo ni sh 700/800. Huwa wanaagiza na mishkaki 2 ambapo jumla inakuwa 1300/- au yai 2 na inakuwa 1200/- wali nyama ni sh 800, wali maharage mia 6, wali njegere mia 8, wali rost buku, wali samaki na wali maini buku mia 2, tambi buku, ugali mapande buku jero, n.k. Sasa msitake tuamini kuwa ni urahisi. Tena hawapendi vitu cheap. Wala chips hazifanyi mtu kuwa laini. Wanatumia vipodozi hao. Chips kwa wingi zinaharibu ngozi kutokana na mafuta mengi na machafu yatumikayo. Zinanenepesha na zina madhara ya muda mrefu. Mwenza wako asipendelee sana hiyo kitu
Suala la kusema ni cheap nakataa. Katika mazingira ya chuo sijawahi ona binti kaagiza chips kavu ambazo ni sh 700/800.
Huwa wanaagiza na mishkaki 2 ambapo jumla inakuwa 1300/- au yai 2 na inakuwa 1200/- wali nyama ni sh 800, wali maharage mia 6, wali njegere mia 8, wali rost buku, wali samaki na wali maini buku mia 2, tambi buku, ugali mapande buku jero, n.k.
Sasa msitake tuamini kuwa ni urahisi. Tena hawapendi vitu cheap. Wala chips hazifanyi mtu kuwa laini. Wanatumia vipodozi hao. Chips kwa wingi zinaharibu ngozi kutokana na mafuta mengi na machafu yatumikayo. Zinanenepesha na zina madhara ya muda mrefu.
Mwenza wako asipendelee sana hiyo kitu
Nimeguswa na hiyo bei hapo kwenye bold
Kama chips mayai 2 itakuwa 1200/-hebu tunyambulie costing inafikiwaje hiyo bei?
Hivi ni nani alivumbua hiki chakula kiitwacho chips mayai??kwa sababu nahisi ni chakula kinaliwa zaidi TZ kuliko nchi nyingine...
Wasichana wana hulka ya kupenda zaidi chips kuliko wanaume na si kwa sababu ya bei. Nenda ata ktk minuso mbalimbali utaona wasichana wengi wanakula chops kuliko wanaume ata kama ni bure or of the same prices. Wenyewe wanasema sidanganyiki ila kwa chips kuku nadanganyika!!!