Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,257
- 3,904
Birthday zimekuwa ndo chanzo cha kutafutia pesa kuna birthday Siku za karibuni nimehudhuria mdada kaanda birthday party akatuomba wadau tukutane pub flani ivi ikoo Magomeni Kitu kilichonishangazaSasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wotee au ukiwa na urafiki nao itakuhusu tuu michango shida sio hiyo party shida ni kuchangiana hatupumui aiseee au wadau mnalionajee hiliii??? ishakuwa kero
Nawasilisha
Hao mademu nawaona sana na wengine naishi nao karibu. Tips na Kidimbwi hawaendi na nauli tena wanakumbushana "vaeni gauni fupi tight" alafu wana hela ya Bolt ya kwendea tu. Kula, kunywa na kurudi juu ya yeyote atakayewaita ukokuna mademu wanaenda party hawana nauli. kwa wazee wa kuokota tunachagua moja iliyonona tunapakia kwenye gari
Kuna mwanamke aliniomba 50 nilikuwa naye tunapga lunch pamoja.Tapeli mmoja wa kiarabu aliyezaliwa magomeni.sasa hivi yupo chuo udsm.alikuwa anapenda hela balaa
Demu akikuita pub sana sana unaenda kutumia hela zako juu yako na juu yake. Hapo kila aliyeitwa kaitwa dear, love, mchumba, mpenzi, etc ila mkifika eneo la tukio mnaitwa 'marafiki zangu'. Huo mtego usirudie unless uwe unataka kutoa helaBirthday zimekuwa ndo chanzo cha kutafutia pesa kuna birthday Siku za karibuni nimehudhuria mdada kaanda birthday party akatuomba wadau tukutane pub flani ivi ikoo Magomeni Kitu kilichonishangaza
Swala la vinywaji kila mtu anajitegemea yeye mdada alikuja na cake tuu sasa baada ya hayo yote kimbembe kilikuja wakati wa kutoa zawadi Mc anatangaza kila anaekuja kutoa zawadi basi adondoshe elfu 10 au 5 kwenye boxi la zawadi hapo ilibidi nisepe kimya kimya huku najifanya naongea na simu pembeni nikarudi badae sana mambo ya zawadi yameisha ila boxi la zawadi lilikuwa limejaa wekundu
Unabembelezwa ukishatoa unabakia kuwa mpenzi mtazamajiiDemu akikuita pub sana sana unaenda kutumia hela zako juu yako na juu yake. Hapo kila aliyeitwa kaitwa dear, love, mchumba, mpenzi, etc ila mkifika eneo la tukio mnaitwa 'marafiki zangu'. Huo mtego usirudie unless uwe unataka kutoa hela
Juzii nimetumiwa screenshot kachangiwa hela kazitandaza kitandanii mwenyewe kwelii hii ni aina ya ukusanyajii wa mapato serikali ichukue kodiBirthday zimekuwa ndo chanzo cha kutafutia pesa kuna birthday Siku za karibuni nimehudhuria mdada kaanda birthday party akatuomba wadau tukutane pub flani ivi ikoo Magomeni Kitu kilichonishangaza
Swala la vinywaji kila mtu anajitegemea yeye mdada alikuja na cake tuu sasa baada ya hayo yote kimbembe kilikuja wakati wa kutoa zawadi Mc anatangaza kila anaekuja kutoa zawadi basi adondoshe elfu 10 au 5 kwenye boxi la zawadi hapo ilibidi nisepe kimya kimya huku najifanya naongea na simu pembeni nikarudi badae sana mambo ya zawadi yameisha ila boxi la zawadi lilikuwa limejaa wekundu
Pole kwa yanayokukuta, vumilia ulimpenda mwenyeweSasa hivii wasichana wengii wameamka kwenye maswala ya viparty vya siku ya kuzaliwa yaanii mwanaume kama una mahusiano na wasichana zaidi ya mmoja ujue utachangia wotee au ukiwa na urafiki nao itakuhusu tuu michango shida sio hiyo party shida ni kuchangiana hatupumui aiseee au wadau mnalionajee hiliii??? ishakuwa kero
Nawasilisha
Takukata mitama kijana acha vurugu.Yule wako ni wa kijijini?
Yule wako ni wa kijijini?
Hahaha dah..Hao mademu nawaona sana na wengine naishi nao karibu. Tips na Kidimbwi hawaendi na nauli tena wanakumbushana "vaeni gauni fupi tight" alafu wana hela ya Bolt ya kwendea tu. Kula, kunywa na kurudi juu ya yeyote atakayewaita uko
Jibu tu mkuuTakukata mitama kijana acha vurugu.
Wa mjini watamnyonga kabisaHahha na Bado anamsumbjua kila siku . Akipata wa mjini je?
SijuiJibu tu mkuu
Wa mjini watamnyonga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta limama lizima eti litembeza kadi[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtoto mmoja mpuuzi sana.yaani ndani ya mwaka mmoja alikuwa na birthday 2.
Ya kwanza kaniomba nikampa baada ya miezi kadhaa keshasahau ananipigia simu Tena wiki ijayo birthday yangu.