Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
1391001385306.jpg
Kabla ya kutoka hakikisha mikanda ya Hips imekaza unaweza kuaibika supermarket.
 
Ndo kwanza nasikia hapa kumbe zipo!
 
Hayo madude hata mbele huko huwa wanakosea nakumbuka Kim Kardashian liliwahi kuporomoka jukwaani hips (made of helion) lake
 
Wanaume ndo tunasababisha hawa wafake maumbile yao kwa kuendekeza ma hips. issue central tu!
 
Wanaume ndo tunasababisha hawa wafake maumbile yao kwa kuendekeza ma hips. issue central tu!
Na ''central'' (sijui polisiii....) nako kuna feki za kumwaga... Full minato ya kichina...
 
Tunamrekebisha Mungu tunaona alivyotuumba kakosea.
 
Back
Top Bottom