Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

Jamani tujikubali tulivyoumbwa. Mungu alikuwa na maana yake ya kumuumba kila mtu alivyo. Hahahaaa kwanini mtu upate aibu yote hiyo?? haya hata akipata huyo mwanaume akivua si atajua ni pasi tu?
 
si lazima..
article-2127649-1288A3B1000005DC-993_306x686.jpg
article-2463493-18ACADD600000578-871_306x664.jpg

Hahaha haaa nakukubali mkuu..
 
mfuko wako tu...
wa mambo safi yao haya...
Fake-Buttocks-316x208.jpg

waliochacha...
cocaine310113.jpg

Hizi mbili za chini ni bullet proof. IGP Ernest Mangu naweza kushauriwa ili kuzirasimisha kwa Polisi, hususani kipindi hiki cha uhalifu wa kutumia silaha, na kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu.
 
This is too much, wanawake tunaelekea wapi??

Be proud of yourself hata kama unashape ya kichaga kaa mimi,what's the point ya fake hips,butts etc??

Kwakweli tubadilike.
 
Back
Top Bottom