Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

Wadada muwe makini mnapovaa ma hips

Ili mradi watukamate tu yaani hawa viumbe,ni hatareee kwelikweli...
 
mfuko wako tu...
wa mambo safi yao haya...
Fake-Buttocks-316x208.jpg

waliochacha...
cocaine310113.jpg

Tabu yote ya nini jamini?
 
Kwani si huwa ni skin tite ina sponge ,inashukaje tena?au zipo za kubandika
 
dah, aisee noma sana. dada zetu plz hebu angalieni tu hizi mambo bana, kwani mkiwa kawaida na kutovaa hayo madubwasha mtapungukiwa na nini. bafilikeni bana
 
Tyta Mambo makubwa haya jamani...eh kwani lazima mtu kuwa na wo wo wo ??
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaa hipsi na backs za kutengeneza? ....
 
Back
Top Bottom