๐๐ We Bibi umenifundisha tabia mbaya kijana wa watu! Siku nikitaka mke humu nitakosa maana si reply zako hizi dah! Mi sihusikii๐
Hunizidi mimi[emoji38][emoji38][emoji38]Kama mimi tuu[emoji30][emoji23]
Jr[emoji769]
Na huyo wa kukushinda mpaka aje anitwae mikononi mwako atapata tabu atatumia mpk hirizi pumuzi ๐๐Aahahahahahhaaaa kumbe hujagundua lengo langu, nilikuwa nataka Agness ajitokeze hapa wivu ukimzidi ili nimpe maujanja ya namna ya kukukanda kwa asali na machicha ya karanga....
Halle utaacha kumchokoza kigagula Kasie.
Ila kupitia uzi huu niwatoe hofu walimbwende wa JF, siku kijana wangu Kenzy akitangaza nia ya kutaka mke wajitokeze kwa wingi, maana watajitwalia kijana bora ahahahahahaaa
Muone kwanza, nakupigia promo hapa halafu ulete uchokozi wako aahahaha.
Ndiyo dear, inapigwa show mpaka unasahau jina la maji, unaita "Mma" kwa uchovu aai[emoji3][emoji3]
Hivi show za kibabe ndyo zipi , ni zile mpaka viungo vifuke moshi,maji yaitwe mma?, aargh mbaya tumieni tu uwezo wenu wa asili bila kutegemea viongeza nguvu nk.too much of everything is harmful.
Wewe umejibu je mama ivanka?? ๐
Na huyo wa kukushinda mpaka aje anitwae mikononi mwako atapata tabu atatumia mpk hirizi pumuzi ๐๐
Kauli yangu ya mwaka huu ni
"SITOKI UNYAMWEZINI"๐
Hahaha wewe unapenda zipi??Hivi show za kibabe ndyo zipi , ni zile mpaka viungo vifuke moshi,maji yaitwe mma?, aargh mbaya tumieni tu uwezo wenu wa asili bila kutegemea viongeza nguvu nk.too much of everything is harmful.
Halafu anamwambia funga kilemba kwanza Hahahaha HahahahaKwa sasa wameshachoka na hao watumiaji wa bangi na pombe wanapendelea vumbi la Congo au putururu na mara nyingi wanatembea nalo ikiwa dharura yoyote imejitokeza anakupa vumbi ujipake
Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka kifala...Wewe umejibu je mama ivanka?? ๐