wadada mtupe space

wadada mtupe space

Ukiniletea pozi kama hivyo,sina shida nakupa miaka 3 mikavu zaidi,utajiondoa mwenyewe na pesa zako unazotafuta,si hutaki kubanana
 
Relationships nyingine inafika muda zinaanza kua ka umefungwa, mapenzi raha sawa lakini kitendo cha kutuganda tuwasiliane kila siku kila wakati inaboa, yani hamna kuachiana angalau cku moja kuweka distance kidogo ili mambo mengine yafanyike, kila muda mapenzi tu, tusipoonana basi message hamna pause zinajaa watsapp, hamna kujali ni muda wa kusaka pesa, mnataka tuchat tu, usiporeply siku nzima utasikia mpenzi umeibiwa!! take t easy girls, ka ni wako ni wako tu, na ka player hata utume txt milioni si wako huyo...

napenda space nikae nifanye mambo yangu mwenyewe, ikiwezekane tupeane hata likizo ya mwezi kabisa... sio wife yamekua hayo, mkiwekwa ndani je??

Ifike mahali tubadilike tujadili mambo ya msingi kama huna la maana kaa kimya.
 
mie nyumbani kwangu nina sheria moja tuu..unanipigia simu kama unataka kugegedwa au mtu anaumwa. kama kafa usinisumbue mpaka narudi. nashukuru wife ananielewa.
 
Tumeagizwa kuishi nao kwa akili awa watu.... uctimie jazba wala mabavu....cheza na akili yake atakuelewa tu... wanahitaj sana attention tumia akili
 
too emotional, kwann hukumueleza muhusika huko mpaka uje kutoa povu huku?? wenzio wanapenda kusumbuliwa tena wao ndio wasumbufu hivyo, so uclazimishe kila mtu awe unavyotaka ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom