Wadada: Mtunusuru na hizi picha zenu huko mitandaoni

Wadada: Mtunusuru na hizi picha zenu huko mitandaoni

adda13993e56ff1277031bb785df6b34.jpg
Hahaaaa. Ila wanaume bana. Yaani kabadilika tayari. Duuh
 
Cheka tu mdogo wangu. Ila mitandaoni huwa kuna vituko sana aiseee.

Sa sijui mtu anapodanganya inakuwaje?
Hahahahaaaa.

Hizi stori za mtu kukutana na mtu mwenye sura/umbo ambalo hakulitarajia zimetamalaki sana, tatizo kubwa ni uongo uliojaa humu mitandaoni.

Uongo na ufake umekuwa chambo na fursa sana mitandaoni!
 
Hahahahaaaa.

Hizi stori za mtu kukutana na mtu mwenye sura/umbo ambalo hakulitarajia zimetamalaki sana, tatizo kubwa ni uongo ulijaa humu mitandaoni.

Uongo na ufake umekuwa chambo na fursa sana mitandaoni!
Hahaaa. Kweli kabisa.
 
Hahah yalinikuta mara mbili nikatoka nduki, wakwanza alikua kibonge mfupi ana tumbo kubwa kama la wanywa bia, unaweza kudhania hana shingo, sauti ya kitoto kumbe mtu mzima kabisa, nilikaa sehemu namtazama kila nikijipa imani nimsogelee moyo unakataa, nikatokomea.
Wa pili hasimuliki kabisa namuachia Mungu
Alikuwaje
 
Back
Top Bottom