paka hotel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 314
- 405
Sawa mzigua90Sawa
Sawa mzigua90Sawa
Swahiba unataka nikutumie full alafu unikimbieHahaaaaa. Haya bana.
Hahaaa. Duuh. Hapana bana Swahiba Emmy huwa hana tabia hiyo ye huwa anaamini katika sisi binadamu hakuna aliyejiumba.Swahiba unataka nikutumie full alafu unikimbie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni jambo jemaHahaaa. Duuh. Hapana bana Swahiba Emmy huwa hana tabia hiyo ye huwa anaamini katika sisi binadamu hakuna aliyejiumba.
🙂hapo mzee baba ulijikaza kisabuni ila ndo uanaume huo kumalizia vita uliyoianzisha mwenyeweWakuu wasaalam.
Juzi kati nilikutana na mrembo huko facebook. Kupitia picha alizoweka "nikashawishika" na "kuhamasika" kutoa mwaliko pasipo shuruti. Alionekana ni demu aliyekidhi vigezo vyangu alikuwa kimodo fulani hivi maji ya kunde fulani iliyofifia. Mwenyewe nikasema yes.
Baada ya chats za siku kadhaa tukakubaliana kukutana kwenye moja ya maeneo nayoamini sana hasa nikizingatia "ukisu" wa yule demu sikutaka sehemu ya maskharamaskhara. Huku na huko siku na muda vikawadia, demu akanishtua ameshakuja maeneo tuliyokubaliana.
Nami uzuri sikuwa mbali na hapo. Nikajisogeza kidogo nikapishana na dada mmoja kibonge kavaa mlegezo wa jinzi, shati la mikono mirefu lenye rangi ya ugoro huku likiwa limejaa alama za misalaba. Nikampita huyo dada huku nikielekea mashariki huku nikiitafuta ile sura ya fesibuku kulia na kushoto kwa eneo ile bila mafanikio. Punde simu yangu ikaita kucheki dem anapiga.
Akanambia keshaingia amekaa ananingoja, akanielekeza. Nilishangaa kidogo kwa sababu kwa jografia ya pale asingeweza kupita bila kuniona na watu hawakuwa wengi kivile. Kwa Haraka sana machale yakanicheza nikajiuliza asijekuwa ni yule demu wa misalaba niliyepishana naye hapa hivi punde. Maana nilijua kama ni yeye ishakuwa baala hii.
Nikajishawishi kimoyomoyo haiwezekan akawa ni yeye. Njkajitokeza kwenda kumcheki nakuta kumbe ndio dem yuleyule niliepishana nae, tena sasa kashazungukwa na wahudmu wanamsikiza anaagiza mapochopocho. Nikajisemea kimoyomoyo laahaula lakwata.. leo imekula kwangu vibaya. Nilitaka kupiga u-turn kisha nizimishe simu mazima nikaona itakuwa soo zaidi na hata hivo ningemtia hasara.
Nikaamua kuwa muungwana, basi kwa taaabu nikajivuta huku nikilazimisha 'kuitafuta' tabasamu ili demu asijekunishtukia. Tulipiga stori 2-3 nikajifanya kupokea visimu vya uongouongo hapo ili mradi nitafute sababu nitokomee zangu fasta maana hili disko limeshaingiliwa na mmasai.
Poa poa Swahiba.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni jambo jema
Mwenza ata usitumie nguvu nyingi atakaemuamin huyu kizee atakua ana akili kama zakeNamtetea Inna maana Saint Ivuga anataka kutufunga kamba hapa.
Tangu aanze kujiita sukari ya warembo sijawahi kumuaminiatakae muamini huyu kizee atakua ana matatizo
hahahahahhaha kumbe full pic mnataka muone na chura eeeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hahahahahhaha kumbe full pic mnataka muone na chura eeeh
ndo najua sasa
Hahaha EXPECTATION vs REALITY
pole mkuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] ila Wanaume mna mambo nyinyi, ndo maana matukio hayawaishiHahah yalinikuta mara mbili nikatoka nduki, wakwanza alikua kibonge mfupi ana tumbo kubwa kama la wanywa bia, unaweza kudhania hana shingo, sauti ya kitoto kumbe mtu mzima kabisa, nilikaa sehemu namtazama kila nikijipa imani nimsogelee moyo unakataa, nikatokomea.
Wa pili hasimuliki kabisa namuachia Mungu
kabisa yan ni msanii msanii tuTangu aanze kujiita sukari ya warembo sijawahi kumuamini
tehe tehe tehe
duu we kiboko...ulitoa wapi huo ujasiri?Kuna mtu nilimkomesha sana haha. Aliona picha yangu whatsap kwa mtu [sijui nani] so akaanza tongozo. Bila kujua mweznie nilikuwa mjamzito 32 weeks hahahahaaa analazimisha tuonane ana shida na mimi nikasema isiwe tabu baba tuonane. Nikaenda zangu kumuona aliishia kunitaka radhi tu na kusema hatorudia tena.