Wadada: Mtunusuru na hizi picha zenu huko mitandaoni

Afu mkuu ujue umenikumbusha jambo moja matata sana. Juzi kati si nikakutana na demu badoo....baada ya kuchat kwa muda nikaomba nimpigie kwa whatsapp ila nilishangaa sana aliponisihi nisipige video call. Nikamuuliza kwanini akasema "basi tu sipendi". Sasa nimepata jawabu kupitia post yako hii. Isije ikawa tunashare vyombo mkuu. Kizuri wala na nduguyo lakink hiki kibaya nakuachia ule peke yako...akhaaa!
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
[emoji3] [emoji3]
 
Nilishangaa kidogo kwa sababu kwa jografia ya pale asingeweza kupita bila kuniona na watu hawakuwa wengi kivile. Kwa Haraka sana machale yakanicheza nikajiuliza asijekuwa ni yule demu wa misalaba niliyepishana naye hapa hivi punde. Maana nilijua kama ni yeye ishakuwa baala hii.

Nikajishawishi kimoyomoyo haiwezekan akawa ni yeye. Njkajitokeza kwenda kumcheki nakuta kumbe ndio dem yuleyule niliepishana nae, tena sasa kashazungukwa na wahudmu wanamsikiza anaagiza mapochopocho. Nikajisemea kimoyomoyo laahaula lakwata.. leo imekula kwangu vibaya. Nilitaka kupiga u-turn kisha nizimishe simu mazima nikaona itakuwa soo zaidi na hata hivo ningemtia hasara.
mkuu hii issue yako inafanana kila kitu na kilichonikuta mwaka jana isipokuwa hapo tu, yaani hata nashindwa kuelezea nilichokutana nacho!! mpaka nikikumbuka ile siku nabaki kucheka tu.
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
100% hii ni kamba mkuu!!
 
Ndo maana spendi kutongoza mademu wa mitandaoni wanaweka profile picha za watu wengine ili kupata wanaume inakuwa chambo cha kuvutia.
 
Wakuu wasaalam.

Juzi kati nilikutana na mrembo huko facebook. Kupitia picha alizoweka "nikashawishika" na "kuhamasika" kutoa mwaliko pasipo shuruti. Alionekana ni demu aliyekidhi vigezo vyangu alikuwa kimodo fulani hivi maji ya kunde fulani iliyofifia. Mwenyewe nikasema yes.

Baada ya chats za siku kadhaa tukakubaliana kukutana kwenye moja ya maeneo nayoamini sana hasa nikizingatia "ukisu" wa yule demu sikutaka sehemu ya maskharamaskhara. Huku na huko siku na muda vikawadia, demu akanishtua ameshakuja maeneo tuliyokubaliana.

Nami uzuri sikuwa mbali na hapo. Nikajisogeza kidogo nikapishana na dada mmoja kibonge kavaa mlegezo wa jinzi, shati la mikono mirefu lenye rangi ya ugoro huku likiwa limejaa alama za misalaba. Nikampita huyo dada huku nikielekea mashariki huku nikiitafuta ile sura ya fesibuku kulia na kushoto kwa eneo ile bila mafanikio. Punde simu yangu ikaita kucheki dem anapiga.

Akanambia keshaingia amekaa ananingoja, akanielekeza. Nilishangaa kidogo kwa sababu kwa jografia ya pale asingeweza kupita bila kuniona na watu hawakuwa wengi kivile. Kwa Haraka sana machale yakanicheza nikajiuliza asijekuwa ni yule demu wa misalaba niliyepishana naye hapa hivi punde. Maana nilijua kama ni yeye ishakuwa baala hii.

Nikajishawishi kimoyomoyo haiwezekan akawa ni yeye. Njkajitokeza kwenda kumcheki nakuta kumbe ndio dem yuleyule niliepishana nae, tena sasa kashazungukwa na wahudmu wanamsikiza anaagiza mapochopocho. Nikajisemea kimoyomoyo laahaula lakwata.. leo imekula kwangu vibaya. Nilitaka kupiga u-turn kisha nizimishe simu mazima nikaona itakuwa soo zaidi na hata hivo ningemtia hasara.

Nikaamua kuwa muungwana, basi kwa taaabu nikajivuta huku nikilazimisha 'kuitafuta' tabasamu ili demu asijekunishtukia. Tulipiga stori 2-3 nikajifanya kupokea visimu vya uongouongo hapo ili mradi nitafute sababu nitokomee zangu fasta maana hili disko limeshaingiliwa na mmasai.
Mkuu story yako haijakamilika. .bill ulilipa?
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
JF never boring kwa kweli..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakuu wasaalam.

Juzi kati nilikutana na mrembo huko facebook. Kupitia picha alizoweka "nikashawishika" na "kuhamasika" kutoa mwaliko pasipo shuruti. Alionekana ni demu aliyekidhi vigezo vyangu alikuwa kimodo fulani hivi maji ya kunde fulani iliyofifia. Mwenyewe nikasema yes.

Baada ya chats za siku kadhaa tukakubaliana kukutana kwenye moja ya maeneo nayoamini sana hasa nikizingatia "ukisu" wa yule demu sikutaka sehemu ya maskharamaskhara. Huku na huko siku na muda vikawadia, demu akanishtua ameshakuja maeneo tuliyokubaliana.

Nami uzuri sikuwa mbali na hapo. Nikajisogeza kidogo nikapishana na dada mmoja kibonge kavaa mlegezo wa jinzi, shati la mikono mirefu lenye rangi ya ugoro huku likiwa limejaa alama za misalaba. Nikampita huyo dada huku nikielekea mashariki huku nikiitafuta ile sura ya fesibuku kulia na kushoto kwa eneo ile bila mafanikio. Punde simu yangu ikaita kucheki dem anapiga.

Akanambia keshaingia amekaa ananingoja, akanielekeza. Nilishangaa kidogo kwa sababu kwa jografia ya pale asingeweza kupita bila kuniona na watu hawakuwa wengi kivile. Kwa Haraka sana machale yakanicheza nikajiuliza asijekuwa ni yule demu wa misalaba niliyepishana naye hapa hivi punde. Maana nilijua kama ni yeye ishakuwa baala hii.

Nikajishawishi kimoyomoyo haiwezekan akawa ni yeye. Njkajitokeza kwenda kumcheki nakuta kumbe ndio dem yuleyule niliepishana nae, tena sasa kashazungukwa na wahudmu wanamsikiza anaagiza mapochopocho. Nikajisemea kimoyomoyo laahaula lakwata.. leo imekula kwangu vibaya. Nilitaka kupiga u-turn kisha nizimishe simu mazima nikaona itakuwa soo zaidi na hata hivo ningemtia hasara.

Nikaamua kuwa muungwana, basi kwa taaabu nikajivuta huku nikilazimisha 'kuitafuta' tabasamu ili demu asijekunishtukia. Tulipiga stori 2-3 nikajifanya kupokea visimu vya uongouongo hapo ili mradi nitafute sababu nitokomee zangu fasta maana hili disko limeshaingiliwa na mmasai.
Huyo bonge anamvuto au ndio sura kama kibwengo pole sana sijui kwa nn wanapenda kuweka picha za watu mm kuna mmoja nilishamuacha kituo cha daladala
 
Back
Top Bottom