Wadada: Mtunusuru na hizi picha zenu huko mitandaoni

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Muda wowote unakaribishwa...

Sifa za PM yangu:

1. Ni pasafi
2. Pana Kiyoyozi (Full AC)
3. Friji ipo
4. Panavutia na kuna harufu nzuri
5. Huduma ni 24H/7W 365 a year
6.Mhudumu aliyebobea na mwenye uzoefu wa kutosha (Mwenye tabasamu la nguvu)
7. Lugha nzuri kwa mteja ipo
8. Internet ya kasi ipo (4G LTE wireless)
9. Huduma za miamala ya kifedha zinapatikana
10. Kuna utulivu wa hali ya juu..
11. Kuhusu suala la ulinzi ondoa shaka, hapa umefika (CCTV kila kona zipo)

Na mengine kadha wa kadha...Karibu sana uhudumiwe, hakika hutojutia!
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
Kila kibaya na kibaya chenzake
 
Hahahahaha hahahaha si kwa sifa hizi
 
228930.jpg
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hii ni moja ya mitihani wanayokumbana wanaume na vijana wengi wa zama hizi. Mtu huvutiwa na sauti ya dem aliyekosea namba matokeo yake mnaanzisha mahusiano bila kuonana lakini siku ya kuonana mnakimbiana.
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
hahaaaaaaa mkuu wewe mkongwe ..mwaka huo mimi Nipo std 1
 
niliwahi mtongoza msichana usiku mvaa hijab kumbe ni bibi sawa na bibiyangu magomeni mtaa wa Idrisa ilikuwa usiku, kesho yake nikamvizia tena usiku, kesho kutwa yake tukakuta tena kwenye yale matairi usiku, siku iliyofuata nikanunua ndom kabisa basi ndio siku gari ilipommulika usoni kumbe hata meno ya mbele hana, maskini mimi, nilitoka mbio..ilikuwa 1998
Hahahahahaaa
 
mkuu hii issue yako inafanana kila kitu na kilichonikuta mwaka jana isipokuwa hapo tu, yaani hata nashindwa kuelezea nilichokutana nacho!! mpaka nikikumbuka ile siku nabaki kucheka tu.
Ilikuwaje?
 
Back
Top Bottom