Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

Kuna mdada hatujamaliza hata wiki, nlikuwa na malengo nae ila nimeachana nae coz anaomba sana hela, yan yeye kila cku ana shida ya hela, I'm quite well off lkn nkaona ya nn huu mzigo...nikamsogeza pembeni vio_vio
Yani inakera sana halafu ukute mtu wa hivyo hata kukushauri vitu vya kimaendeleo hakuna. Anawaza kukupurusa tu.
 
haya mambo hayana formula...

ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.

Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.

lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.

nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.

Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.
umeandika kisomi sana i love it, good point mzaz "ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme"
 
fact fact, so tru
Mmesema vizuri wakuu.

Kama alivyogusia Daby .Haya mambo hayana kanuni.Pia, jamii zetu zimebadilika sana na kwa bahati mbaya kuna watu wengi ambao hawaambatani na mabadiliko haya.

Sikuhizi uchumba kwa namna fulani umekosa maana yake.Wengi wanauchukulia uchumba kama ndoa badala ya kipindi cha kuweza kujuana kwa undani zaidi na mwishowe kufanya maamuzi ya mwisho ya kuoana.

tru true well written
 
Back
Top Bottom