Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

I
Kuna mwanamke asiepapatikia mwanaume mwenye hela au gari? Labda visenti na magari yetu sisi mabovu! Ila hela kweli kwa maana na ya hela na gari kweli kwa maana ya gari hamna mwanamke anapindua!
I hate the way mnavyogeneralize,ivi mnazani ni wote tunashoboka na wallet n gari za watu!? Naanzaje kushoboka ilihali hata sijui umezipataje ama adha unazozipitia kumiliki hivyo vitu. Yaaan watu mnatukariri vibaya
 
haya mambo hayana formula...

ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.

Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.

lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.

Nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.

Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.

Hapo kwenye Bold..... Umeongea ukweli kabisa Daby..... na mifano kadhaa nilikutana nayo kipindi fulani.
 
I

I hate the way mnavyogeneralize,ivi mnazani ni wote tunashoboka na wallet n gari za watu!? Naanzaje kushoboka ilihali hata sijui umezipataje ama adha unazozipitia kumiliki hivyo vitu. Yaaan watu mnatukariri vibaya
Mimi napenda sana mnavyojibu mada kulingana na upepo unpoelekea.
 
Nakubaliana na wewe Daby...nadhani kwa kiasi fulani jamii ina mtazamo hasi kwamba mwanamke anatakiwa awe tegemezi. Lakini mzazi ana nafasi kubwa sana kuhakikisha mtoto wa kike analelewa akijua kwamba...nje ya mwanaume na ndoa mwanamke ana ndoto na malengo yake binafsi.

Jamani wadada...kama ni kusoma soma...na kama ni kazi fanya...kama ni nyumba jenga...miliki mashamba na viwanja...fanya biashara. A road to financial freedom ni ya wote..

Huku kua tegemezi na kuomba omba ni aibu.

Kuna mdada hatujamaliza hata wiki, nlikuwa na malengo nae ila nimeachana nae coz anaomba sana hela, yan yeye kila cku ana shida ya hela, I'm quite well off lkn nkaona ya nn huu mzigo...nikamsogeza pembeni vio_vio
 
Tunatofautiana sana aisee...mi hata hamsini huniskii kuomba.
 
Kuna mwanamke asiepapatikia mwanaume mwenye hela au gari? Labda visenti na magari yetu sisi mabovu! Ila hela kweli kwa maana na ya hela na gari kweli kwa maana ya gari hamna mwanamke anapindua!
Acha kuchukulia wanawake wote kirahisi mkuu!

Yaaan mi nishobokee utajiri wa mwanaume? Najua alivyoupata?

Nachotaka kukuhakikishia sio wanawake wote hawapindui kwa wenye hela ( nazungumza nikiwa na experience)
 
I

I hate the way mnavyogeneralize,ivi mnazani ni wote tunashoboka na wallet n gari za watu!? Naanzaje kushoboka ilihali hata sijui umezipataje ama adha unazozipitia kumiliki hivyo vitu. Yaaan watu mnatukariri vibaya
Asante[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sijakubaliana nae ila nimemjibu tu mm nilichoandika nimemaanisha ye kaja kuongea kwa upande wake ndio mana sijataka kubishana nae
Tatizo anaaccumulate wanawake wote! Tatizo ndipo lilipoanzia!

Yy angesema wanawake anaokutana nao yy ndo huwa hawapindui sio kusema wote eti[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Acha kuchukulia wanawake wote kirahisi mkuu!

Yaaan mi nishobokee utajiri wa mwanaume? Najua alivyoupata?

Nachotaka kukuhakikishia sio wanawake wote hawapindui kwa wenye hela ( nazungumza nikiwa na experience)
Huwa napenda mnavyojibu mada kuelekea upepo unapopuliza.
 
Umeona eenh
Tatizo anaaccumulate wanawake wote! Tatizo ndipo lilipoanzia!

Yy angesema wanawake anaokutana nao yy ndo huwa hawapindui sio kusema wote eti[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Na wewe leo hupendi hela?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom