Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

Wadada mnisamehe kidooogo!, samahani sana

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
KWENU WADADA

WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO!
Samahani sana


Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao!

Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka waliokwisha fika, na bahati mbaya zaidi waliokwisha fika wako 'occupied !! Linalotokea ni nini?! Wanawake wanadhani wana bahati mbaya ?!

Unaweza kuwa unalalamika kuwa una mkosi WA kuolewa yaani kila mwanaume anakuja na ahadi nzuri, baadae anakuacha! Lakin upande mwingine huenda maamuzi yako ndiyo maumivu yako.


Kweli huenda we ni mtoto WA kike mzuri wa sura umbo na hata kila kitu ila umenyimwa hekima!, Mafanikio ya mwanaume kama mkokoteni, Mwanamke ukiyasukuma yanasonga mbele, hatakama maskin



Una mpaparikia kijana mtanashati kisa ana gari na kazii nzuri. Hana mvulana alie single niamini Mimi, Single lakin anamuwaza furani



Unamwona kijana anaeenda kumbi za usiku ndo mjanja..anae vaa suruali chini ya makalio ndo sahihi kwako lakini yule anaeenda ibada kila ijumaa au jumapili unamwona mruga ruga tu!



Una mpuuza Na kumdharau mtu 'A' kisa tu yeye ni kijana aliye soma ila hana ajira. Ama ni kijana ambae kipato chake hakizidi laki 2 kwa mwezi badala yake una mkumbatia mtu 'B' ambae ni baba fulani na ni mume WA Fulani kisa tu anapesa na shida zako zote anakutatulia...!!




SWALI!!
Utaolewa vipi ikiwa mpaka sasa unapenda toka na waume za watu au vijana wenye magari ya mikopo, au kijana yeyote ambaye unajua huna future naye? Au ndo unam'please ili asiache kukupa pesa!?


Nani atakae KUOA wakati vijana wanaotafuta mke wewe una wasema vibaya kuwa hawana hadhi ya kutembea na wewe kisa hawana misuli ya uchumi kwa muda huo?



Funguo ya NDOA utaipata wapi wakati hapo ulipo una mnunia mke wa mtu kisa una toka na mume wake?


DADA maisha yanabadilika mwanaume mpiga debe wa Leo kesho unaweza mbadilisha akawa dereva kisha akamiliki gari lake...hakuna MTU aliye zaliwa kuwa masikini ndo maana juhudi zinahitajika.....



Mwanaume anae tumia pesa kukufanya uwe wake anafanya hivyo kwa wengi ila usijifanye hujui kisa unafaidika jua muda unaenda.

....hatuna muda..
Kama umeniona kichwani mwangu..!
 
Hio ni nature, hakuna anaependa maisha magumu, ila nyie mnabahati nature imewapa, kuna wansiwatafutia wanaleta nyumbani.
Wengine tunapenda kujitafutia wenyewe sasa...hapo ndo unapobug

Kwani mi sina mikono mpaka nipewe?

Najitahidi kutafuta vya kwangu ili tusinyanyasane!
 
Tatizo ni utofauti wa kimtizamo kati ya wanaume na wanawake,

Soma paragraph ya kwanza yapili na ya tatu,

1 Mwanaume anayetaka kuoa anapicha kichwani mwake ya mwanamke atakaye mtia moyo ktk kutafuta maisha na kukubali mapungufu yake

2 Mwanamke anayetaka kuolewa anapicha kichwani mwake ya mwanaume aliyefanikiwa tayari kimaisha ndiye atakaye kubali kuolewa naye

3 Mwanamke analalamika haolewi kila anaye mpata anamtumia na kumuacha

Utofauti huu wa kimtizamo ndio maana mwanamke ni rahisi sana kumuamini mtu muongo atakaye muonyesha picha ya kuwa yeye tayari anamaisha mazuri lakini kiuharisia hakuna mwanaume mwenye maisha mazuri asiye na mke

Ili mwanamke aolewe na mwanaume, lazima mwanamke awe na mtizamo kama wa mwanaume.
Tunayo mifano mizuri mingi mno mfano rahisi ni huu.
Mwalimu wa shule ya msingi aliolewa miaka 40 iliyopita na mwanaume aliyekuwa akihangaika kupata maisha safi, mwanaume huyo now ni president na mwanamke huyo ni first lady,
Lakini ingekuwa ngumu kwa mwanaume huyo baada ya kufikia ndoto ya uraisi kumuoa mwalimu wa shule ya msingi

Huu ndio mtego ambao dada zetu wanatakiwa kuutegua
umenena vyema ila wanawake wachache sana watakuelewa, wengi wanataka dolla, shilingi, euro ndo kila kitu kwao
 
Bila shaka umeelewa somo na utanipunguzia masharti eti sweetie..! Achana na Mzigua90 aka mzingua aendelee kuota atakujasutuka sie tuko ndoani tumenasa na ndoana.[emoji7]
Hapana jamani we shemeji yangu mzigua ndg yangu kabisa
 
Wengine tunapenda kujitafutia wenyewe sasa...hapo ndo unapobug

Kwani mi sina mikono mpaka nipewe?

Najitahidi kutafuta vya kwangu ili tusinyanyasane!
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi. Leo mmekuwa wakujitafutia hamtaki za wanaume! Afsdhali choka mbaya tunafarijika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ama kweli maisha bila unafiki hayaendi. Leo mmekuwa wakujitafutia hamtaki za wanaume! Afsdhali choka mbaya tunafarijika.
 
haya mambo hayana formula...

ila wanawake wengi wanapokosea ni kuweka akilini hili suala la ndoto zao kuwa attached na mwanamme.

Mwanamke ukiwa na ndoto zako au maisha yako nje ya mwanamme huwezi kulialia.

lakini ni mifumo ya maisha yetu. walifundishwa mwanamke ataondoka kwao bila kitu atavikuta kwa mwanamme.

nilisoma mada ya espy nilimuelewa saana. unakuta mwanamke ana kazi nzuri ila hata kiwanja hana anajua mwanamme atakae mwoa atakuja na viwanja, magari n.k.

Nwei: wewe baba anza kumwaandaa mwanao wa kike awe hivyo kuanzia sasa.
Wazazi wengi wa sasa wanawaandalia watoto wao wa kike na kiume sawa sawa!
Kwa hiyo mambo yanasonga mbele!
 
Back
Top Bottom