RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,397
- 139,210
Kama hiki usemacho ni kweli mbona ndoa nyingi wanaoana vijana walioanza maisha na wako kawaida tu? Labda walioo/kuolewa humu watuambie waliooana kwenye hali gani kiuchumi.Ukweli mchungu ni kwamba wanawake hawawataki wanaume ambao bado wako safarini kuelekea ndoto zao! Wanataka waliokwisha fika, na bahati mbaya zaidi waliokwisha fika wako 'occupied !! Linalotokea ni nini?! Wanawake wanadhani wana bahati mbaya ?!