witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Haaahaaa...uzuri kwa wewe nakufahamu!Jf kila mtu tajiri wewe utaingia chaka!
Haaahaaa...uzuri kwa wewe nakufahamu!Jf kila mtu tajiri wewe utaingia chaka!
Hataki hata mke ale vinono[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..so selfish yaan
kwanini shem jirani?Yaaaan wanaume mnapenda mteremko sijapata ona[emoji15] [emoji15]
Na leo ndo nimejua wanaume mabahili!
Cc RRONDO
Unaingiza watu chaka!Haaahaaa...uzuri kwa wewe nakufahamu!
Haya.Si kweli
Mnapatikana wapi maanake huku mtaani hatuwaoni!tatizo kubwa ni kwamba sisi tunaotia moyo wanaume na kuwapenda hatupati wanaume sahihi
hivi ushaolewa?Nakubaliana na wewe Daby...nadhani kwa kiasi fulani jamii ina mtazamo hasi kwamba mwanamke anatakiwa awe tegemezi. Lakini mzazi ana nafasi kubwa sana kuhakikisha mtoto wa kike analelewa akijua kwamba...nje ya mwanaume na ndoa mwanamke ana ndoto na malengo yake binafsi.
Jamani wadada...kama ni kusoma soma...na kama ni kazi fanya...kama ni nyumba jenga...miliki mashamba na viwanja...fanya biashara. A road to financial freedom ni ya wote..
Huku kua tegemezi na kuomba omba ni aibu.
usiponiomba pesa nitakuwa najistukia.Binafsi sitaki hata sh kumi ya mwanaume
pole kwako.... hongera kwa kuyajua hayo.Hapo kwenye Bold..... Umeongea ukweli kabisa Daby..... na mifano kadhaa nilikutana nayo kipindi fulani.
hongereni saana.Wazazi wengi wa sasa wanawaandalia watoto wao wa kike na kiume sawa sawa!
Kwa hiyo mambo yanasonga mbele!
Mzingua yule siyo mzigua..[emoji7]Hapana jamani we shemeji yangu mzigua ndg yangu kabisa
Maneno yako yamenigusatatizo kubwa ni kwamba sisi tunaotia moyo wanaume na kuwapenda hatupati wanaume sahihi
asanteManeno yako yamenigusa