No that is the fornular but sometimes we apply it to the wrong peoplesi kweli...mimi nilimvumilia wangu since tupo chuo hadi tukamaliza...
tukaingia kitaa wote tukiwa jobless...nlimtia sana moyo mana i had hopes ipo siku tutafanikiwa...
na i tried so hard not to put pressure into his life...
sikua nikimuomba pesa na wala pia sikuwa na haraka ya mafanikio...
sikuwahi kumcheat and i loved him like he was the last man on earth...
and in return he dumped me...kisa he doesn want to get married...
nikamwambia ndoa aint a big deal so long as tunapendana kama ipo ipo tu...mara oh sitaki kua kwenye mahusiano kwa sasa...so wewe move on tu kama nlivofanya mimi...sitaki kukupotezea muda...
nkamwambia muda wa kwenda wapi....namuuliza wasnt I good enough for you??? eti no your were great...nilikukosea kitu? no...sasa shida ikwapi...
Sometimes unajitoa kila hali kwa sababu ya upendo ila mwisho wa siku ni maumivu tu...
Mana nlikua pia nampa ideas za biashara...matangazo ya kazi namtumia...
Sometimes hivi vitu havina formula...
Hahahahaha,,,aisee hii kaliAsilimia kubwa ya wakaka mafanikio makubwa ni wadada waliwasaidia nyie hamna shukurani.
Wote ni binadamu bhana acha tu.
Sasa hivi ndoa nyingi ni mamario tu wamejaa basi.
So muache kulalamika.
Dah pengine ye anaona sawa, ila nachoona ni kuwa jamaa ni zoba ama goigoi labda anaogopa ku face wanawake wengine kuwaomba uhusiano.mkuu huo sio huruma ni ujinga ..kama angekuwa na huruma asingekuja kuonyesha hisia zake za maumivu hapa ""
its not easy sa kujua kama he aint the right one...No that is the fornular but sometimes we apply it to the wrong people
Its easyits not easy sa kujua kama he aint the right one...
Ila siku zote kuna mgawanyikoWachache watakuelewa
Umesema kweli ni muhimu kutafuta panapokufaa kabisaa kuliko kuishi sehemu isio na amani...Ila siku zote kuna mgawanyiko
Kama ulivyo sema wachache wataelewa, Vile vile waliosalia hawataelewa.
Hata hiyo inayolalamikiwa na mleta mada vile vile kwa namna moja ama nyingine pia kuna mgawanyiko, 50/50.
Kwanini kuhangaika pasipokufaa?? (Mwanaume)
Tafuta panapokufaa.
Kwema Jozee?
Vizuri, mi niko byee.Umesema kweli ni muhimu kutafuta panapokufaa kabisaa kuliko kuishi sehemu isio na amani...
Huku kwema, mambo dear?
Wazima huko kwenu? mnatunyima niniVizuri, mi niko byee.
Wazima kabisaWazima huko kwenu? mnatunyima nini
Huku sisi mnaotuita wa mkoani madafu tunayaonaga kwenye TV tuWazima kabisa
Twawanyima madafu tu huku.
[emoji2] [emoji2] , naimani sisi pia mnatuonaga kwenye Luninga.Huku sisi mnaotuita wa mkoani madafu tunayaonaga kwenye TV tu
nyie wadada wa Dar mna mambo..duuh[emoji2] [emoji2] , naimani sisi pia mnatuonaga kwenye Luninga.
Usijali, ntakufungashia nikuletee
Umekosea bwana mie huku mgeni, kwetu Chatonyie wadada wa Dar mna mambo..duuh