Wadada mnaopenda viatu na mitindo...Chagua hapa

Wadada mnaopenda viatu na mitindo...Chagua hapa

ni vizuri sana,vinafaa zaidi kwa wanawake wafupi!!
 
mbona cha lady GAGA hamujakiweka jamani kile chenye kisigino cha................
 
Sasa hivi sijui vinavaliwa wapi maana hata kutembea aliyevaa sidhani kama anaweza kutembea
 
sasa miguu mbona inakosa ushirikiano na viatu
 
Back
Top Bottom