Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

Nachokiongea ndo ivo kun kiwanda dar kinatengeneza balimi, sa cjui ndo wanaiingza sokoni cz iljua inapatkna kanda ya ziwa tu io bia na pia dar na mwnza kote nmekaa na bei ndo izo
Labda kwa sasa lakini pindi zinaingia ingia maeneo mengine, mwanza ndio ilikuwa bei rahisi
 
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Mtu anayetaka kumpangia mtu mwingine maisha namyina bonge la mshamba.
 
Upepo sio.. kwa hiyo bia hiyohiyo wanakwambia kanyaga twende
 
kila mmoja anauhuru wa kunywa kitu roho yake inaridhia bc mwisho wa cku si wote wanalewa tu
 
Balimi,eagle,konyagi hizi ni pombe za kiume mkuu,ni bia kali sana afu kwa buku buku au buku jero,mtoto wa kike anathamani yake bana
Wapi ilikobandikwa nembo iliyoandikwa for men only? Mbona mnapenda kuwadanganya watu? Kwa hiyo mtoto wa kike akinywa bia ya buku anageuka kuwa w kiume? Kama wewe unapenda kuwanywesha mademu togwa sisi tunawanywesha bia na hawabadiki urembo wao unabaki palepale
 
Back
Top Bottom