Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

Wadada mnaokunywa balimi mnajiabisha

Balimi,eagle,konyagi hizi ni pombe za kiume mkuu,ni bia kali sana afu kwa buku buku au buku jero,mtoto wa kike anathamani yake bana
Ukionesha zilipoandikwa kwa wanaume tu nakurushia 1m kwa Tigo pesa Sasa hivi
 
hahahaahah, sio siri, hata mie "mmbeya" wa kujitegemea huwa nikienda viwanja siku hizi nashangaa kuona warembo tena wamejipodoa wanaagiza balimi, hahahahahha. Naungana mtoa post, hata mie huwa ninashangaa. Yale ni mapombe ya kiume, wanawake tunapendeza mezani zionekane bia ambazo asilimia za vileo hazizidi 4.5
 
Wewe umenielewa mkuu
 
Wewe umenielewa mkuu
Nimekuelwa Markomx, na ulichoandika hata mie nimekuwa nikiwashangaa, hata visichana vya SAUT navyo ukienda maeneo ya kule Nyegezi utavikuta vinakunywa Balimi ndogo!!!! tuko pamoja kwa hili mwanzo mwisho wanashangaza sana.
 
mkuu pombe ni stimu na ladha sasa kama napenda balimu ninywe pombe nyingine kumbe sifurahii
hahaahhah, ila mwanamke hapendezi kunywa balimi, senator, eagle, chibuku, safari lager, castle milk and the like😀😀😀😀
 
mkuu pombe ni stimu na ladha sasa kama napenda balimu ninywe pombe nyingine kumbe sifurahii,......... acha tu sehemu yenye mbege huwa nachagua mbege
Mkuu hivi siku hizi bado unashusha gambe?
Ila balimi sio mchezo pombe lile linafuta mafaili yote kichwan
 
kwani balimi inauzwa shiling ngapi?

ulitaka wanywe vinywaji vya aina gan
Balimi kwa dar kubwa ni 1500 ndogo hazp kabs lkn mikoani kama kanda ya ziwa kubwa ni 2300 na ndogo ni 1500 so watt wa dar wanazpenda kwasababu zko chni tofaut na kanda ya ziwa
 
Japo mi hainihusu koz si mlevi, ila kwa kukuelimisha just listen SLAVE by Late Luck Dube
 
Balimi kwa dar kubwa ni 1500 ndogo hazp kabs lkn mikoani kama kanda ya ziwa kubwa ni 2300 na ndogo ni 1500 so watt wa dar wanazpenda kwasababu zko chni tofaut na kanda ya ziwa
Mkuu una uhakika na unachosema? Yan Balimi zitoke kanda ya ziwa Halafu kule ndio ziwe Juu???
 
Mkuu una uhakika na unachosema? Yan Balimi zitoke kanda ya ziwa Halafu kule ndio ziwe Juu???
Nachokiongea ndo ivo kun kiwanda dar kinatengeneza balimi, sa cjui ndo wanaiingza sokoni cz iljua inapatkna kanda ya ziwa tu io bia na pia dar na mwnza kote nmekaa na bei ndo izo
 
Back
Top Bottom