enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,097
- 3,654
Mkuu acha kuongopea umma
Hiyo Balimi Tu Unablame Kula Bata Ni Urefu wa Kamba Yako Je Ungewakuta Wanapiga ChibukuJapo life ngumu lakini hii imekua too much
Nimezunguka viwanja vingi hii imenishtua sana.Yaani sikuizi wadada tena warembo kabisa wanafakamia balimi balaa.
Kiukweli mdada mrembo unatolewa out yaani unaishia kupigishwa balimi huku ni kujishusha thamani sana.
Ebu kunyweni pombe zenye hadhi na za heshima bana.Unakuta mdada mrembo walaini kabida anakata balimi,safari,konyagi bapa balaa
Nanyinyi vidume kama unamtoa out mdada mrembo halafu waleti yako haisomi bola upotezee tu
Nilishangaa sana nilipoana njema zipo na wadada warembo afu meza imetapakaa balimi yaani jumla ya balimi zote hata elfu kumi hazifiki,afu njema zinakenua tu nakufurahi tu kweli?
Kwakweli sijaipenda,
Usije mjini

Haswaaa yaani ukiinywa inakimbilia chini ...Aaaa nilikua sijui,labda ndo sababu ya kupendwa na wadada mkuu
Pesa zetu....usitupangie cha kunywa!
Ww unaumia nn? Unawezaje kwenda bar unaanza kuangalia mademu wa wenzako? Huo ni udhaifu aisee, balimi ni kinywaji rahisi pia huwezi kujua mfuko wa mtu, mtu katoka na mpnz wake labda anajua mfuko wa mtu wake hauko poa. Ww km unauwezo wa windock jaribu kutumia hekima na kuangalia yako.Balimi,eagle,konyagi hizi ni pombe za kiume mkuu,ni bia kali sana afu kwa buku buku au buku jero,mtoto wa kike anathamani yake bana
Mtoa post bana....hivi hujui siku hizi wanakunywa hadi CHIBUKU???
Nokia83 umetisha,, balimi ni bia lakini huku kwetu marasini zina nywewa na wavuvi zaidi ili waweze kukokota kokoro vizuriBalimi si bia lkn....je wangekunywa banana?!