cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,382
- 2,417
Eti unakuta mdada kaenda kwa mganga wa kienyeji kushtaki hapewi matumizi wakati hadi ela aliyo itumia kwa nauli amepewa na mumewake.
Hapana mkuu nimekutana na visa kama hivyo nikiwa kwenye kada ya usuluhishi.Ww ni mganga?
Mambo yakiwabadilikia ndio wanaropoka wenyewe.Ha haha, hua wanakuadisia eh