kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa name kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa name simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hi yo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili yenu! name wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!
Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?
Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?
What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?
Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine.
hujui ijumaa ijayo ni siku gani....mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi
ujue ni dalili kuwa hali imekua tight...sasa nashindwa kuelewa kwanini usichukue chips funga with no string attached kama ni lazima uwe na mwanamke.Mbona thread za wakaka kulalamika leo zimekuwa nyingi
hujui ijumaa ijayo ni siku gani....
Hivi hapo kwenye hayo maneno niliyoyakoleza umemaanisha nini?
Na wanawake wa hivyo huwa mnawatoa wapi nyie? Mbona sisi wengine huwa hatukutani nao hao wa hivyo?
What is it with us? Do we exude a no nonsense persona or what?
ujue ni dalili kuwa hali imekua tight...sasa nashindwa kuelewa kwanini usichukue chips funga with no string attached kama ni lazima uwe na mwanamke.
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa name kula aafu tukaagana. mkononi alikuwa name simu ya kama laki 5 hivi. Siku tatu baadaye nikampigia simu hapokei aafu akanitumia msg "simu imetumbukia kwenye maji hi yo siwezi kupokea". Jana kanambia anaomba mimsaidie ili apate mawasiliano, nikamwambia ntanunua ya elfu 50 ili awepo hewani anapotafuta nyingine. Cha ajabu ananambia anataka kama ile ile hi yo nimwongezee laki 2 nyingine ataongeza! Nikacheka kimya kimya huku nikishangilia kusave 50 yangu! Jamani mishahara yeti ina bajeti yake na so kwa ajili yenu! name wengine tunataka kuwa na watu wa kudumu nao,mnatutisha na hizo harakati zenu za usakaji was hela! Tipelekane taratibu jamani, looh!
ukome kutongoza tonggoza a bado ujamwambia atoke out akakwambia hela ya saluni na ya kununua nguo na kiatu,.... mpe hela ya simu bwna ndo nini