Wadada mmezidi kuiga mambo ya wanaume.

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Mlianza kwa kuvaa suruali zetu tukawanyamazia, mkaja mkavaa fulana na kaptula zetu tukawaacha, lakini kama haitoshi sasa mnapigilia hadi BOXER za kiume, hivi nyie viumbe wa wapi mwapenda copy kila kitu cha kiume? Mbona sie hatujawahi iga mitindo yenu?
 

mpaka kunyoa panki na upara wameiga kwetu yetu macho....
 

Ndo muige sasa!
 
Wanaume Wanaokameruniwa na kutigoliwa wameiga wanawake.nadhani wameona wanafaidi,mwe!


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…