dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,793
- 1,903
Mlianza kwa kuvaa suruali zetu tukawanyamazia, mkaja mkavaa fulana na kaptula zetu tukawaacha, lakini kama haitoshi sasa mnapigilia hadi BOXER za kiume, hivi nyie viumbe wa wapi mwapenda copy kila kitu cha kiume? Mbona sie hatujawahi iga mitindo yenu?