nguo za siku hizi zina line ..si ndo undersket yenyewe ama? mi mambo ya kujijaladia siwezi mimi? mi mwili wangu ni free mahewa!Kama umevaa nguo haionyeshi underskirt ya nini na joto hili..Huwa inavaliwa kutegemea umevaa nguo ya aina gani
mnataka tudumae tusikue kila saa mavyupi ? kwani sisi watoto useme tunajikojolea?Smile usifanye hivo bwana wengine tuko kwenye kufunga...
umetosa safari ya pasaka eeeh?
siku hizi zinaitwa GAGULO ndio sababu huzioni madukani wewe kaulizie gagulo utazionaWakat tunakua, wasichana walikua wakivaa sketi, lazima ndani kuwe na sketi laini (andasketi) kwa ajili ya kujisitiri! Siku hizi sion andasketi zikivaliwa, au hata madukani zikiuzwa! Kulikoniiiii???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haina issue yoyotehivi underskirt ilikua inakazi gani?
ahaaaa kweli dear mpenzi ndo mambo yote !shemeji yako kaniambia ananifanyia sapraiz......ndio nasubiria mpenzi......si unajua yeye kwanza......
magagulo mbona yapo mengi tuuu ten adizaini tofauti...kuna hadi gagulo za pensi siku hizi!!!
..sio uchi,nimesema sketi..siwezi kutembea uchi
iyo avatar duh!
Kama kurembua ndo hivyo .... mi najitoa kwenye ligi ya wanaokutafuta. Makengeza si makengeza ... nini si nini - ebu badili basi hiyo avatar
Kama wameacha andersketi. Kuna hatari ya wanawake kuacha kuvaa chupi. Hatari ni hii, Mashavu yatashuka sana ambayo huko patakuwa kama mtu mwenye busha dogo.
Tutapata tabu sana mpaka tuyazoee hiyo mikate bumunda