wadada mliopo dar

wadada mliopo dar

ila vya kichina china kweli
nunua hata 3, vinababduka kile cha kushikia cha chini.
 
Sawa kabisa,
tena Junior Cux, Platozoom na Bishanga wanaongoza,
na hivi wana nyumba ndogo za kumwaga,
basi balaa tupu na hekaheka za kupigana vikumbo Manjiani.
Hivi we na @ruhazwe mmeishia wapi? Mshapeana mimba?
 
Hivi we na @ruhazwe mmeishia wapi? Mshapeana mimba?

Unafikiri mtoto wa mjini anapatapata Mimba hovyo?
Mamndenyi kamtorosha mwanae ili asinioe.
.....yote kheri...!!!
Nipe mdogo wako wa kiume kama unae nimlee kwangu.
 
Back
Top Bottom