Kichoi
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 212
- 87
Si maumivu ya kawaida uliyo yazoea. Ni maumivu ya ndani kwa ndani ndani ya moyo. Ni aina ya mshtuko mwanaume anapata pale anapo kutana na kitu ambacho hakutarajia. Mf. Maziwa, mgongo kiuno makalio na mapaja ambayo hayakusitiriwa barabara, mwanaume wa ukweli ata shake kdg. Upo?








