Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?

Wana ndoto kubwa za kuolewa na matajiri wakubwa!
 

Wenye hela ya kuoa wana vibamia na wao wanataka machine bora wanaona wacheze kotekote pesa na ku enjoy
 
Wanaume nao wanaolewa siku hizi wanapungua kwa kasi ya ajabu. Ila asante Mungu mie nilipata
 
Siyo kama hawataki kuolewa ila mazingira. Utawasingizia kina dada bure. Suala la uoaji lipo kwa mwanaume
Unafikiri ni mwanamke gani hataki kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…