Wadada: Kwanini hamtaki kuolewa?


mitusi atutaki jamani
 
Sio hawataki kuolewa bali
Nani wakuwaoa wanawake wa kileo wenyewe wana sifa kama:
1:hawana vifua vya kuficha siri za ndani kwao
Jiulize mwanamke ana kifua ungesikia habar za kibamia nje kama leo?
2:kutwa anasungua miguu na kuwatembelea mashoga zake kaz za ndani zote anamwachia housegal
3:Yakhe mtu mzima anavaa nusu uchi nani amuweke ndani?
4:Yakhe anataka kulazimisha kuishi maisha kama shoga ake anavoishi
5:Ati mdada mlevi full nightclub yakhe nani wa kuoa mlevi?
6😱yoo mie ukinioa staki ndugu zako waje,yakhe ndugu zangu wamenkuza leo wasije kwangu?
7:20-30 habib ati hataki kuolewa anadai anakula ujana,yakhe 35+ ndo anatafta mume kwel utakubal kula muwa uliokamliwa maji yake?

NB: enyi vijana mwenye uwezo wa kuoa oeni kwan mtajaulizwa ujana wenu mliutumiaje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] weumeoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoe kma 7 iv uone kama watakataa ili uwe shamba darasa
 
Sio kwamba hatutaki hatujapata tatizo nyota. Halafu ugali wa shikamoo wanapenda wanaume sana akikuoa kila siku hana pesa umtafutie ebooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…