Waache waoane, sisi hatuna tatizo tunashangaa wanalalamika kwa niaba yetu
Haya bana, siku njema dada.Nisikilize umeninukuu vibaya nimesema kwa wanaume ambao nimashoga wengi mahanisi unajua kuna mahanisi waliozaliwa nao huyu ataakiniambia anioe nakubali kiukweli ila kunahanisi wakuingiliwa nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wakufuate pm wapate fursa hiyoem waonyeshe duka waliwatundika hao wanaume waowaji akanunue wamuoe... hv siku hizi kuna waowaji au watafuta fursa? btw hao wadada wa miaka 35 ndo wanaolewa maana ndo washajiweza kimaisha... wazee wa fursa ndo wanawapenda siku hizi
Kila nikukupm nitangaze ndoa hunijibu.Ndoa ni pale unapokuwa tayari umempata umpendae na tayari umefanya maamuzi ya kuoa au kuolewa. Mbona sasa mnakuwa kama mnawalazimisha wanawake waolewe?
Mwanaume ndio mtangaza ndoa, how come lawama zinaenda kwa mwanamke wkt labda hakuna aliyetangaza ndoa kwake?
Ukisubiri mapenzi utajikuta una miaka 55 ghafla na still upo single!Tunaolewa kwa mapenzi siyo kwa kutimiza wajibu
Asante Mungu awe msimamiz wetuHaya bana, siku njema dada.
Mkuze vyema mwanao.
Ko na ewe hutak kuolewa!Waache waoane, sisi hatuna tatizo tunashangaa wanalalamika kwa niaba yetu
Sitoshangaa tena hiyo ID yako.Wanaume wenye mapenzi ya kweli HAKUNA..
Staki hata kuisikia, hapa nakaribia kuachika. uje na mengine mazuri zaidi
Sitoshangaa tena hiyo ID yako.
Bahati mbaya tayari
Baaada ya furaha ya sherehe ya ndoa kinacho baki sasa nimaelewano ya wanandoa me and ke hivyo Yale yote yanayo tokea humo ni kutokuelewana juuu yao ambayo ata jiran mengine hawez jua mambo mengine ni usaliti kati ya wanandoa hao hapo kila mmoja anatakiwa kujifikilia nani kamsalit mwenzie na afanye nn ili mambo yaende sawa hapa ndipo haswa panapo leta shida hasa kujishusha kwa mwenzio kwa kweli tubadilike hakuna anae oa au kuolewa kwa ajir ya kumkomoa mwenziee ila makosa tunayo fanya ndio chanzo cha kuvurugana wanandoa asantmkishatuoa mnatufanya nini?
Wanaume hamna
Napambana ndugu yangu. Tuombeane