man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Hauna hisia kwa hiyo au...?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaani Ney Acha tu,wa kuoa wanapuyanga na wao waolewe. Sasa competition ilivyokubwa Leo watuulize eti kwanini wadada hamuolewi??
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] unatafuta kupigwa simo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mie ndio maana nimejikuta nasoma comments tuu za wadau, wao wenyewe wanakimbilia fursa ya kuolewa bado tena wanatuuliza kwanini hatutaki kuolewa aiseeh inatia huzuni mno,
Mi nadhani swali lingekuwa hivi "kwanini wanaume mnakimbilia kuolewa na wanaume wenzenu je wanawake waolewe na kina nani"?
Hapo ningekuwa na chakuchangia [emoji125][emoji125][emoji125]
Unajua ni hivi sawa usikubali kuishi tamaa ikakutawala Bali wewe itawale tamaa pia kutatua tatizo la kimwili inamaana umezidiwa mno hapo hupati shida njia ni nyingHauna hisia kwa hiyo au...?
Na mahitaji yako ya kimwili unatatuaje...?
Labda tunaeza shirikiana hapa tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] unatafuta kupigwa simo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakayerusha ngumi najua nimemgusa kwa namna moja au nyingine [emoji125][emoji125][emoji125]
Moja ya njia nyingi ambazo labda unatumia au unazijua tuu dada yangu...?Unajua ni hivi sawa usikubali kuishi tamaa ikakutawala Bali wewe itawale tamaa pia kutatua tatizo la kimwili inamaana umezidiwa mno hapo hupati shida njia ni nying
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yangu Sky, leo kazi unayo...!Tunaolewa kwa mapenzi siyo kwa kutimiza wajibu
Hiyo ni siri yangu [emoji120] ngumu kueleza ila ni njia sahihiMoja ya njia nyingi ambazo labda unatumia au unazijua tuu dada yangu...?
Ambazo zinasaidia kwa namna moja ama nyengine.
Una mtoto au watoto...?
Wanaume wengi kazi za ndani zinawashinda, inafika umri yupo busy ameelemewa anataka msaada wa kupikiwa, kufuliwa na usafi mwingine, basi anaona aoe ili kupunguza mzigo.mkishatuoa mnatufanya nini?
Baba wa mtoto bado alikuumiza...?
Sikuwahi kumkosea nandomana anatafuta suluhisho tuyaweke sawa ila nihivi nilichogundua mwanaume akijua unampenda atakutesa sana,mwanaume sio wakumwamini,wala sio mtu wakumueka moyoni kama unaamua kuwa Na mwanaume kuwa nae kumaliza shida za mwili sepaBaba wa mtoto bado alikuumiza...?
Unahisi wewe ulikua mkamilifu Sana kwake...?
Haukua sehemu ya chanzo Cha yeye kukuumiza...?
Kuna wanawake ila ukiwambia sie wanaume hatueleweki tunawaumiza wanashangaa ujue...?
Kwa sababu hawakufanya makosa kuchagua wanaume wa kuingia nao kwenye mahusiano mpaka kutengeneza mtoto.
Unaposema wanaume wote tupo hivi unaeza ukawa umejumuisha na mzazi wako wa kiume.
Hapo ningekuwa Sawa kabisa...sio kutuuliza eti kwanini hamuolewi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mie ndio maana nimejikuta nasoma comments tuu za wadau, wao wenyewe wanakimbilia fursa ya kuolewa bado tena wanatuuliza kwanini hatutaki kuolewa aiseeh inatia huzuni mno,
Mi nadhani swali lingekuwa hivi "kwanini wanaume mnakimbilia kuolewa na wanaume wenzenu je wanawake waolewe na kina nani"?
Hapo ningekuwa na chakuchangia [emoji125][emoji125][emoji125]
Kila mtu apambane Na hali yakeTuelekeze na ss ili tuitumie panapo itajika