supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 1,023
- 1,979
Tujipoze na machungu ya Mei Mosi kwanza na mabango yetu japokuwa uwanja una signal jammer!!
Twende kwenye mada: Leo naomba kuwaambia wadada japo maneno machache namna mnavyotukera na kuhatarisha mahusiano mnavyotutembelea bila taarifa sehemu tunazoishi.
Hii tabia ni sumu kwa sababu zangu kuu kadhaa:
1. Unapokuja bila taarifa jua unanifanya nikufikirie vibaya, nakuwa na mawazo ya kwamba huniamini ndo maana unakuwa unajaribu kufumania kila wakati.
2. Inanifanya nakufikiria kuwa akili zako umeshikiwa na mashoga zako kuwa mwanaume mshtukize ndo utagundua madudu anayofanya
3. Mambo mengine huwa tunahitaji kuweka private sio kila life naloishi we ulione, mengine yatakukwaza mf. naweza kuwa na washkaji tumeamua kunywea pombe home na mambo mengine sasa wewe unavyokuja bila taarifa unakuwa ushaharibu hiyo party hapo na wewe pia utakosa amani na mashemeji wanaweza kukuchukia pia.
4. Kubwa zaidi ni kwamba unaweza ukakutana na mwanamke mwenzako na mbaya zaidi labda huwezi muacha huyo mwanaume unajikuta unahaha tena!
5. La mwisho ni kwamba wanaume sie tukiwa home alone huwa tunajua namna tunavyojianika, nakaa napata upepo mtupu, boxer kule, sahani kule, mende anakatiza huku na kule halafu unikute na hali hiyo lazma ntapata mfadhaiko....
Ni hayo tu...
Nawasilisha