Wadada kama unaenda kwa mpenzi usijipake lipstick

Wadada kama unaenda kwa mpenzi usijipake lipstick

hahahaha hata wao wanapenda kumeza banah... we mtu kajiachia amepanua tu mdomo kwanini usimalizie humo

Wengi huwa mnapenda mfanyiwe hivo unafikiri kumn... Jamaa kitu rahisi eeh nyie liptick mwaona shida
 
Wengi huwa mnapenda mfanyiwe hivo unafikiri kumn... Jamaa kitu rahisi eeh nyie liptick mwaona shida

mbona rahis asee, si ka wakula ice-cream tu na uzuri wake yenyewe haiishi... lipstick cancer tutaisha muanze kutafuta madildo
 
Bwana mleta mada umenicheKesha sanaaaa daaaa
Eti mengine huwa matamu matamu.. na unayapenda..kwi kwiiiiii
 
Jamani wadada ukijijua kabisa kuwa unaenda kwa mpenzi, acha kupaka basi haya marangi yenu basi mnayoita Lipstick sijui mekundu.
Unajua kabisa mpenzi atataka kubusu kiaina au kubusu kiundani kabisa.

We hujiulizi unaenda umepaka halafu akikubusu yanaondoka mdomo unabaki mweupe, yanaenda wapi sasa kama sio mwanaume kayameza.
Mtatusababishia kansa wajameni, kwenye maelekezo pale mdada hujaambiwa kuyapaka ili boy wako ayameze bwana.

Mwee ila mengine huwa matamu kweli, Kama ya blackbery sijui Strawberry, mengine ya Apple.

Hayo matamu hata mi nayapenda
kwa hiyo huwa unayaramba!?ushauri wangu;usiyarambe maana ni hatari kwa afya yako!! mm mwenyewe nakupongeza kwa kulikemea jambo hilo!!
 
Mie bebe wangu anapenda nkipaka lipstic nyekundu.... anajiskia raha sana tukifikia kale kakipengele kakukulana mate uku mdomon kuna lipstic

Sawa dada TU-MBOO
 
Mwambie aache kupaka lipstic za bei chee anunue original hazitoki hovyo
 
Mie bebe wangu anapenda nkipaka lipstic nyekundu.... anajiskia raha sana tukifikia kale kakipengele kakukulana mate uku mdomon kuna lipstic

inategemea sana na aina ya lipstick, nyingine zimetengenezwa "edible" yaan hazina madhara hata ukiila, ila sasa bei ndio tatizo maana moja utakuta mpaka laki na zaidi hii dada wa kule kikwetukikwetu hawezi inunua so kweli mtatuua bure.
 
Yaan ww ulieanzisha hii thread una akili ww,hv ulijuaje kama hii mambo inakera ile mbaya,yaan me huwa napenda kumdakia demu mlangoni kwa makiss na denda ila hiyo rangi ndo huwa inanitoa in mood kabisaa akija nayo loh!hebu achen bac
 
Back
Top Bottom